Chit chatKabla ya huu uzi kuanzishwa mlikua mnachat sana majukwaa yapi?
Mie MMU,na entertainment thread ya isidingo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] akikujibu niiteNdio halafu mbona wewe hawakusumbui ni mimi tu
Anakuja siku yoyote ilikuwa afike leo na mkulu wa Uganda ila nadhani wakati wowote atafika.ahahaha jaman mbona nasikia yupo chato likizo
Hayo macho ndugu yangu si tutaota usiku?jaman jaman
[emoji23] [emoji23] kule huwa sipiti kabisaSiasani na hiyo miwani ingevunjika siku hiyo hiyo [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Mmh bora nibaki na flat yangu ya inch32 kuliko hivyoTako linatafutwa kwa nguvu jaman
Hahaha na kwelMmh bora nibaki na flat yangu ya inch32 kuliko hivyo