Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ee ili wapate likes nyingi,ukipingana na kundi la wengi wanaambiana pm usipewe likes msaliti. Siasa sio kabisa
Kumbe unalijua hilo? Yaani hoja ya wazi kabisa lakini inapingwa hadi unashangaa!! Kuna muda unazira kuingia Jf kwa kuogopa kukwazwa.Bahati nzuri ile nagusa MMU nikakutana na heaven sent,espy,demi,Evelyn salt,Ngoda na wengine na furaha ikaanzia pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…