myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
ππSubira Ni Ngumu Lakini Malipo Yake Ni Makubwa.
Usipokua makini na mitandao , unaweza jikuta unawashauri watu ambao ni wewe ndie ulipaswa ujifunze kutoka kwao na kuomba ushauri wao
β οΈβ οΈWaliokata tamaa na ndoto zao hawawezi kushangilia mafanikio ya wengineβwanasubiri uanguke ili wasihisi wameshindwa peke yao..
Hakikisha haumuachi Mungu katika maisha yako , Kama unataka kuishi duniani Kama MTU mwenye akili . Maana kumcha bwana ndio chanzo cha maarifa
ππKuna baadhi ya watu wako wa karibu wameshajua kua kamwe hawatokuja kufanikiwa maishani mwao kutokana na njia walioichagua , hivyo huwezi waona wakijitoa Ku support ambao bado wana nafasi
AiseeKuna baadhi ya watu wako wa karibu wameshajua kua kamwe hawatokuja kufanikiwa maishani mwao kutokana na njia walioichagua , hivyo huwezi waona wakijitoa Ku support ambao bado wana nafasi
Kuna baadhi ya watu wako wa karibu wameshajua kua kamwe hawatokuja kufanikiwa maishani mwao kutokana na njia walioichagua , hivyo huwezi waona wakijitoa Ku support ambao bado wana nafasi
Ukweli wa maisha kwa kila mtu unaemuona uko hivi , aidha kikombe chake kipo nusu kujaa au kimebaki nusu ili kisiwe na chochote ndani yake
βοΈβοΈβοΈKuna baadhi ya watu wako wa karibu wameshajua kua kamwe hawatokuja kufanikiwa maishani mwao kutokana na njia walioichagua , hivyo huwezi waona wakijitoa Ku support ambao bado wana nafasi
Hakikisha haumuachi Mungu katika maisha yako , Kama unataka kuishi duniani Kama MTU mwenye akili . Maana kumcha bwana ndio chanzo cha maarifa
Hakikisha haumuachi Mungu katika maisha yako , Kama unataka kuishi duniani Kama MTU mwenye akili . Maana kumcha bwana ndio chanzo cha maarifa
SawasawaUlimwengu tunaouona ni kioo cha mawazo yetu.
Akili inao uwezo wa kujenga au kubomoa hali yako ya maisha.
β οΈβ οΈAkili inao uwezo wa kujenga au kubomoa hali yako ya maisha.