myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
📌📌Subira Ni Ngumu Lakini Malipo Yake Ni Makubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
📌📌Subira Ni Ngumu Lakini Malipo Yake Ni Makubwa.
Usipokua makini na mitandao , unaweza jikuta unawashauri watu ambao ni wewe ndie ulipaswa ujifunze kutoka kwao na kuomba ushauri wao
✅️✅️Waliokata tamaa na ndoto zao hawawezi kushangilia mafanikio ya wengine—wanasubiri uanguke ili wasihisi wameshindwa peke yao..
Hakikisha haumuachi Mungu katika maisha yako , Kama unataka kuishi duniani Kama MTU mwenye akili . Maana kumcha bwana ndio chanzo cha maarifa
👍👍Kuna baadhi ya watu wako wa karibu wameshajua kua kamwe hawatokuja kufanikiwa maishani mwao kutokana na njia walioichagua , hivyo huwezi waona wakijitoa Ku support ambao bado wana nafasi
AiseeKuna baadhi ya watu wako wa karibu wameshajua kua kamwe hawatokuja kufanikiwa maishani mwao kutokana na njia walioichagua , hivyo huwezi waona wakijitoa Ku support ambao bado wana nafasi
Kuna baadhi ya watu wako wa karibu wameshajua kua kamwe hawatokuja kufanikiwa maishani mwao kutokana na njia walioichagua , hivyo huwezi waona wakijitoa Ku support ambao bado wana nafasi
Ukweli wa maisha kwa kila mtu unaemuona uko hivi , aidha kikombe chake kipo nusu kujaa au kimebaki nusu ili kisiwe na chochote ndani yake
✔️✔️✔️Kuna baadhi ya watu wako wa karibu wameshajua kua kamwe hawatokuja kufanikiwa maishani mwao kutokana na njia walioichagua , hivyo huwezi waona wakijitoa Ku support ambao bado wana nafasi
Hakikisha haumuachi Mungu katika maisha yako , Kama unataka kuishi duniani Kama MTU mwenye akili . Maana kumcha bwana ndio chanzo cha maarifa
Hakikisha haumuachi Mungu katika maisha yako , Kama unataka kuishi duniani Kama MTU mwenye akili . Maana kumcha bwana ndio chanzo cha maarifa
SawasawaUlimwengu tunaouona ni kioo cha mawazo yetu.
Akili inao uwezo wa kujenga au kubomoa hali yako ya maisha.
✅️✅️Akili inao uwezo wa kujenga au kubomoa hali yako ya maisha.