myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
ππUkiona unakaribia kabisa kukata tamaa jikumbushe kuwa hata mbegu inaoza kwanza kabla ya kuanza kuota upya
ππUkiona unakaribia kabisa kukata tamaa jikumbushe kuwa hata mbegu inaoza kwanza kabla ya kuanza kuota upya
β οΈβ οΈKabla ya kuongea chochote hakikisha ulimi wako umeunganishwa ipasavyo na ubongo wako na vyote vinafanya Kazi Kwa pamoja
ππKanuni yetu ni ile ile hata tupitie kwenye mazuri na magumu ya namna gani, lakini hatuwezi kusahau kumwabudu na kumwomba Mungu.
βοΈβοΈKanuni yetu ni ile ile hata tupitie kwenye mazuri na magumu ya namna gani, lakini hatuwezi kusahau kumwabudu na kumwomba Mungu.
β οΈβ οΈKwa jinsi unavyotumia nguvu kubwa sana kuwafanya watu waamini kuwa wewe ni mwema ndivyo unavyozidi kuwatia wasiwasi kuhusu matendo yako
ππKwa jinsi unavyotumia nguvu kubwa sana kuwafanya watu waamini kuwa wewe ni mwema ndivyo unavyozidi kuwatia wasiwasi kuhusu matendo yako
βοΈβοΈkama hukuzaliwa katika familia ya kitajiri, pambana kwa bidii ili familia ya kitajiri izaliwe kutoka kwako
kama hukuzaliwa katika familia ya kitajiri, pambana kwa bidii ili familia ya kitajiri izaliwe kutoka kwako
kama hukuzaliwa katika familia ya kitajiri, pambana kwa bidii ili familia ya kitajiri izaliwe kutoka kwako
Kanuni yetu ni ile ile hata tupitie kwenye mazuri na magumu ya namna gani, lakini hatuwezi kusahau kumwabudu na kumwomba Mungu.
Ukiiga mwendo wake, utafika kwake na sio kwako!
βοΈβοΈMtu akikukosea kuliko kumsema ni afadhali ukamuombea. Jifunze kuto kuhukumu wengine kama ambavyo Mungu haja kuhukumu wewe.
SawasawaUsichoke bado kuna watu wanakuamini katika maisha yako
AiseeWatu wema huwa sio wajinga, kosa lao huwa tu ni ile kudhani kuwa kila mtu ana moyo wa kufanana kama wao!
Sawa piaUsichoke bado kuna watu wanakuamini katika maisha yako
AiseeUkiiga mwendo wake, utafika kwake na sio kwako!
AiseeMtu akikukosea kuliko kumsema ni afadhali ukamuombea. Jifunze kuto kuhukumu wengine kama ambavyo Mungu haja kuhukumu wewe.
Ukishindwa kuwa mjinga mwanzoni,usitegemee kuwa mwerevu mwishoni
ππNidhamu ni daraja la mafanikio. Fanya kile unachopaswa kufanya, hata kama hujisikii kufanya