myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
📌📌Ukiona unakaribia kabisa kukata tamaa jikumbushe kuwa hata mbegu inaoza kwanza kabla ya kuanza kuota upya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
📌📌Ukiona unakaribia kabisa kukata tamaa jikumbushe kuwa hata mbegu inaoza kwanza kabla ya kuanza kuota upya
👍👍Ukiona unakaribia kabisa kukata tamaa jikumbushe kuwa hata mbegu inaoza kwanza kabla ya kuanza kuota upya
✅️✅️Kabla ya kuongea chochote hakikisha ulimi wako umeunganishwa ipasavyo na ubongo wako na vyote vinafanya Kazi Kwa pamoja
📌📌Kanuni yetu ni ile ile hata tupitie kwenye mazuri na magumu ya namna gani, lakini hatuwezi kusahau kumwabudu na kumwomba Mungu.
✔️✔️Kanuni yetu ni ile ile hata tupitie kwenye mazuri na magumu ya namna gani, lakini hatuwezi kusahau kumwabudu na kumwomba Mungu.
✅️✅️Kwa jinsi unavyotumia nguvu kubwa sana kuwafanya watu waamini kuwa wewe ni mwema ndivyo unavyozidi kuwatia wasiwasi kuhusu matendo yako
👍👍Kwa jinsi unavyotumia nguvu kubwa sana kuwafanya watu waamini kuwa wewe ni mwema ndivyo unavyozidi kuwatia wasiwasi kuhusu matendo yako
✔️✔️kama hukuzaliwa katika familia ya kitajiri, pambana kwa bidii ili familia ya kitajiri izaliwe kutoka kwako
kama hukuzaliwa katika familia ya kitajiri, pambana kwa bidii ili familia ya kitajiri izaliwe kutoka kwako
kama hukuzaliwa katika familia ya kitajiri, pambana kwa bidii ili familia ya kitajiri izaliwe kutoka kwako
Kanuni yetu ni ile ile hata tupitie kwenye mazuri na magumu ya namna gani, lakini hatuwezi kusahau kumwabudu na kumwomba Mungu.
Ukiiga mwendo wake, utafika kwake na sio kwako!
✔️✔️Mtu akikukosea kuliko kumsema ni afadhali ukamuombea. Jifunze kuto kuhukumu wengine kama ambavyo Mungu haja kuhukumu wewe.
SawasawaUsichoke bado kuna watu wanakuamini katika maisha yako
AiseeWatu wema huwa sio wajinga, kosa lao huwa tu ni ile kudhani kuwa kila mtu ana moyo wa kufanana kama wao!
Sawa piaUsichoke bado kuna watu wanakuamini katika maisha yako
AiseeUkiiga mwendo wake, utafika kwake na sio kwako!
AiseeMtu akikukosea kuliko kumsema ni afadhali ukamuombea. Jifunze kuto kuhukumu wengine kama ambavyo Mungu haja kuhukumu wewe.
Ukishindwa kuwa mjinga mwanzoni,usitegemee kuwa mwerevu mwishoni
👍👍Nidhamu ni daraja la mafanikio. Fanya kile unachopaswa kufanya, hata kama hujisikii kufanya