Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kichwa ndio anaongoza,amejitokeza kijana mmoja,anatajataja majina utadhani mwana muziki wa kicongo,ananisumbua sana
andjul ndugu yangu kumbe jana nilikuwa naota tu.
Hamna kitu chochote ndugu yangu.
Si unakumbuka mkataba tulio ingia kuwa zizi lako tunapita mbali.
carbamazepine hebu niambie ndoto ya jana usiku maana siikumbuki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pamoja na hayo huwezi ota ndoto bila kuwa na fikra, mtazamo au matamanio hayo.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom