carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndoto gani tena?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndoto gani tena?
Ndio our number one ruleLikes kwa posti
Hilo nalo neno,acha niendelee na safari,kitajulikana huko hukoPamoja na hayo huwezi ota ndoto bila kuwa na fikra, mtazamo au matamanio hayo.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Ndio maana nimetulia sina neno na mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kichwa kuachwa kawaida yake
Nasuri swali lako ho chi Minh
Siasa kuna ni umiza kichwa tu.Siasa hovyo sana bora michezo
Hahahaha hati miliki ya threadKuna watu wana hati miliki ya jukwaa lile, ukitoa thread wanajadiliana kwanza pm waijibu au wakae kimya, hata wakijibu basi kikao kwanza kimepita pm
Yap nipo mkuuuuuuu lete swali
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ulikua unaota eeeh??mgonjwa kaamka?[emoji23] [emoji23] [emoji23]andjul ndugu yangu kumbe jana nilikuwa naota tu.
Hamna kitu chochote ndugu yangu.
Si unakumbuka mkataba tulio ingia kuwa zizi lako tunapita mbali.
carbamazepine hebu niambie ndoto ya jana usiku maana siikumbuki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vijana mna jeuri sanaKabisa mtoto mzuri wa kiarabu moyo uliona japo macho hayakuona[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nani kakuvua nguo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] naonewa mimi
Mkuu nipo nimetulia kijana mtiifu wa uzi huu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda kapigwa chini
Mkuu natoka likes 4 hrs ago ndio nipo 56 mins ago nakutana na post yako lete swali
Humu ndani kuna vijana wakorofi sanaMbio wapi tena
Njema sana BossVp wadau
Post sent using JamiiForums mobile app
PerfectHuu uzi UNAKIMBIZA MWIZI KIMYA KIMYA
Post sent using JamiiForums mobile app
Hahahahaha lete swali ho chi
Kama jeuri akili itamrudi tu.
HBD kwakeSmart wa mahondaw