Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
andjul ndugu yangu kumbe jana nilikuwa naota tu.Kichwa ndio anaongoza,amejitokeza kijana mmoja,anatajataja majina utadhani mwana muziki wa kicongo,ananisumbua sana
Indeedamun ra
sent from my dell inspiron
Siasa hovyo sana bora michezoDuuh!
Awamu ya TanoDuu ila wata nyooka tu na utawala huu
Ndugu yangu ndoto inataka kutugombanisha.Kichwa hafai kabisa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hapa ni mwendo wa likes tu post chochote upate likesJukwaa hili ni la kupeana likes..posti chochote upate likes..
Kuna wanaligeuza...?!
ISIS loves almighty LORDWeka likes pata malike
Tutasimamia hiliNdio lengo la jukwaa
IndeedISIS loves almighty LORD
sent from my dell inspiron
Pamoja na hayo huwezi ota ndoto bila kuwa na fikra, mtazamo au matamanio hayo.andjul ndugu yangu kumbe jana nilikuwa naota tu.
Hamna kitu chochote ndugu yangu.
Si unakumbuka mkataba tulio ingia kuwa zizi lako tunapita mbali.
carbamazepine hebu niambie ndoto ya jana usiku maana siikumbuki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Poa poa mkuu.Nipe like
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Usipochukua risiti fuel station faini hapo hapo 30,000Kuna jamaa yangu leo kaenda petrol station kaweka mafuta alipo maliza mhudumu akamuambi "samahani usiondoke nikupe risiti"