Kabisa mtoto mzuri wa kiarabu moyo uliona japo macho hayakuona[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivyo hivyo,mbona Said wa Scorpion hana macho lakini kamuona mtoto wa Kiarabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona sielewi nini kinaendelea kichwa kichafu jana nimelala mapema tu kuna niniUtakuta sasa hivi anajiita babe na kujiitikia[emoji23][emoji23]ila akija hapa ile mikwara ya jana cha mtoto[emoji23] [emoji23]
Nilitaka kuwa mzee wa liver kwa muda mkuuUmejiunga na ISIS
Kweli mkuuNi maeneo mengi tangu jana wanakupa risit Hata kama hutaki waitupia dirishani
Mmmmmmmm.Mbona sielewi nini kinaendelea kichwa kichafu jana nimelala mapema tu kuna nini
Wapi kichwaKichwa hafai kabisa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hhahaahhahahaa mkuu ahsante kwa kunishusha presha,maana jana hali ilikuwa ni mbaya ikabidi nijihami,saa hivi ndio naelekea Sumbawangaandjul ndugu yangu kumbe jana nilikuwa naota tu.
Hamna kitu chochote ndugu yangu.
Si unakumbuka mkataba tulio ingia kuwa zizi lako tunapita mbali.
carbamazepine hebu niambie ndoto ya jana usiku maana siikumbuki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unasema?Mbona sielewi nini kinaendelea kichwa kichafu jana nimelala mapema tu kuna nini
Uliza mkuu ho chi
Ndugu yqngu kuna nini ninaendeleaUpweke unamsumbua
Kichwa mambo?umeamkaje?tulikukumbuka na andjulMbona sielewi nini kinaendelea kichwa kichafu jana nimelala mapema tu kuna nini
LikesJukwaa hili ni la kupeana likes..posti chochote upate likes..
Kuna wanaligeuza...?!
Huyu ndiye Rais John pombe MagufuliMaji ya 500 tu saba saba nikapewa na risiti