myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
✅️✅️Ni rahisi sana kwetu kutokuona thamani ya kitu wakati kikiwepo. Ni rahisi zaidi kuona thamani ya kitu kikikosekana
VITU VITATU TU
1. Mungu Moyoni
2. Pesa Mfukoni
3. Amani Moyoni
Baadhi ya vitu Muhimu kwenye Maisha Yako.
1.Ibada
2.Mwili wenye Afya
3.Kichwa chenye Akili
4.Familia marafiki wanaokupenda na kukujali
5.Mahusiano Bora na Sio Bora Mahusiano