Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mambo: poa carbamazepine.Kichwa mambo?umeamkaje?tulikukumbuka na andjul
Kuamka: nimeamka salama.
Kunikumbuka: nami nilikukumbuka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mambo: poa carbamazepine.Kichwa mambo?umeamkaje?tulikukumbuka na andjul
Poa kabisaHabari gan humu
the great
Na kubaguaNa kuchagua
Niaje mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha mkuu namsalimia nsamaka usiogope
Mngoni mpe hela zitafika lakini mwanamke mhhh sijuiFisi hastahili kutumwa nyama.
HahahahahaDamu ya kunguni balaa.
Kichwa kichafu ana damu ya .......Damu ya kunguni balaa.
Jana nini kilitokea maana andjul qnasema ana wasi wasi wakati jana nimewahi kulala saa mbili kamili tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] ndoto gani tena?
Nipo mkuu Leo weekend wacha tukimbize kidogo uzimzee wa liver salama
OyeeeeeeeeeeeeeTaifa stars
Kama humu JF tupoAvumaye baharini papa, kumbe wengine wapo
Hebu tumuulize andjul kwanza mana jana me sa1 kamili nilikua najibebisha kwa Cole[emoji125] [emoji125]Jana nini kilitokea maana andjul qnasema ana wasi wasi wakati jana nimewahi kulala saa mbili kamili tu
Sijui nini kinaendelea tumuulize andjul[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe ulikua unaota eeeh??mgonjwa kaamka?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hqhqhqhahq[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] vijana mna jeuri sana
Hahahahahaha hizi methali Leo zinamlenga my mental [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Anayelaumiwa ni yule mwenye bahati mbaya.
Cc;andjul tunaomba ufafanuzi puliiiziiiSijui nini kinaendelea tumuulize andjul
Hakina nani haoHumu ndani kuna vijana wakorofi sana
KabisaWeek end murua
Post sent using JamiiForums mobile app
Hahahahahah[emoji23] [emoji23] [emoji23] me similiki kitabu[emoji23] [emoji23] [emoji23]