myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
βοΈβοΈUkweli Mchungu kuhusu Maisha
1. Kila mtu ana matatizo yake, hata yule anayeonekana kuwa na kila kitu.
2. Si kila juhudi yako itakubalika au kuonekana.
3. Marafiki wa kweli ni wachache, na wengi watakuja tu wakati wa neema.
4. Maumivu ni sehemu ya ukuaji, huwezi kuyaepuka.
ππKwenye maisha ukitamani na kusukumwa sana na kiu ya kupata matokeo au faida za haraka kwenye kila kitu basi ujue utayahatarisha maisha yako sana. Mafanikio ya haraka yana gharama kubwa kuliko subira
β οΈβ οΈSio kila mlango kwenye maisha lazima ufunguke kwa wakati utakao wewe, kuna wakati unatakiwa usubirie aliefunga afunguwe,
Usiwe unalalamikia kila tatizo linalokupata mengine nikwa faida yako, usilazimishe kuluka hatua za kuiva pita kwenye moto kwa ujasiri mwingi maana hata katika huo moto Mungu yupo pamoja nawe hata kuacha.
βοΈβοΈSio kila mlango kwenye maisha lazima ufunguke kwa wakati utakao wewe, kuna wakati unatakiwa usubirie aliefunga afunguwe,
Usiwe unalalamikia kila tatizo linalokupata mengine nikwa faida yako, usilazimishe kuluka hatua za kuiva pita kwenye moto kwa ujasiri mwingi maana hata katika huo moto Mungu yupo pamoja nawe hata kuacha.
ππSio kila mlango kwenye maisha lazima ufunguke kwa wakati utakao wewe, kuna wakati unatakiwa usubirie aliefunga afunguwe,
Usiwe unalalamikia kila tatizo linalokupata mengine nikwa faida yako, usilazimishe kuluka hatua za kuiva pita kwenye moto kwa ujasiri mwingi maana hata katika huo moto Mungu yupo pamoja nawe hata kuacha.
β οΈβ οΈMafanikio sio suala la faida unayo ipata leo, bali ni suala la kuendelea kupata faida siku zote za maisha yako.
βοΈβοΈβοΈMafanikio sio suala la faida unayo ipata leo, bali ni suala la kuendelea kupata faida siku zote za maisha yako.
Kwenye maisha ukitamani na kusukumwa sana na kiu ya kupata matokeo au faida za haraka kwenye kila kitu basi ujue utayahatarisha maisha yako sana. Mafanikio ya haraka yana gharama kubwa kuliko subira
Kula nyumbani kuna faida nyingi ikiwemo kuzingatia ubora wa chakula. Kama una maisha ya kula kitaa mara nyingi chagua sehemu za kuamini sio kila sehemu tu.
Kuna wauzaji wengi tu wa chakula hutumia vyakula vinavyokaribia kuharibika au vyenye ubora wa chini ili kuongeza faida.

β οΈβ οΈNjia rahisi za kuishi maisha yako
1. Acha kulaumu wengine kwa maisha yako
2.Acha kumfurahisha kila mtu.
3. Jifunze kuridhika na vile vitu vidogo ulivyonavyo
4. Sherehekea mafanikio yako mara nyingi zaidi
5. Kaa mbali na watu ambao ni hatari kwa afya yako ya akili na hisia
Nakubaliana na weweNjia rahisi za kuishi maisha yako
1. Acha kulaumu wengine kwa maisha yako
2.Acha kumfurahisha kila mtu.
3. Jifunze kuridhika na vile vitu vidogo ulivyonavyo
4. Sherehekea mafanikio yako mara nyingi zaidi
5. Kaa mbali na watu ambao ni hatari kwa afya yako ya akili na hisia
βοΈβοΈNjia rahisi za kuishi maisha yako
1. Acha kulaumu wengine kwa maisha yako
2.Acha kumfurahisha kila mtu.
3. Jifunze kuridhika na vile vitu vidogo ulivyonavyo
4. Sherehekea mafanikio yako mara nyingi zaidi
5. Kaa mbali na watu ambao ni hatari kwa afya yako ya akili na hisia
πππKwenye maisha ukitamani na kusukumwa sana na kiu ya kupata matokeo au faida za haraka kwenye kila kitu basi ujue utayahatarisha maisha yako sana. Mafanikio ya haraka yana gharama kubwa kuliko subira
β οΈβ οΈKula nyumbani kuna faida nyingi ikiwemo kuzingatia ubora wa chakula. Kama una maisha ya kula kitaa mara nyingi chagua sehemu za kuamini sio kila sehemu tu.
Kuna wauzaji wengi tu wa chakula hutumia vyakula vinavyokaribia kuharibika au vyenye ubora wa chini ili kuongeza faida.
Kuna umri unafika unaelewa kwamba hakuna mtu anayekudai chochote maisha yako ni jukumu lako. Unapambana na changamoto zako kwa utulivu, Huchukui chochote kibinafsi Afya yako ya akili inakuwa thamani isiyo na kipimo kuliko maoni ya wengine.
NAKUBALIKula nyumbani kuna faida nyingi ikiwemo kuzingatia ubora wa chakula. Kama una maisha ya kula kitaa mara nyingi chagua sehemu za kuamini sio kila sehemu tu.
Kuna wauzaji wengi tu wa chakula hutumia vyakula vinavyokaribia kuharibika au vyenye ubora wa chini ili kuongeza faida.