Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukweli Mchungu kuhusu Maisha

1. Kila mtu ana matatizo yake, hata yule anayeonekana kuwa na kila kitu.

2. Si kila juhudi yako itakubalika au kuonekana.

3. Marafiki wa kweli ni wachache, na wengi watakuja tu wakati wa neema.

4. Maumivu ni sehemu ya ukuaji, huwezi kuyaepuka.
✔️✔️
 
Sio kila mlango kwenye maisha lazima ufunguke kwa wakati utakao wewe, kuna wakati unatakiwa usubirie aliefunga afunguwe,

Usiwe unalalamikia kila tatizo linalokupata mengine nikwa faida yako, usilazimishe kuluka hatua za kuiva pita kwenye moto kwa ujasiri mwingi maana hata katika huo moto Mungu yupo pamoja nawe hata kuacha.
✅️✅️
 
👍👍
 
Ujumbe
Kula nyumbani kuna faida nyingi ikiwemo kuzingatia ubora wa chakula. Kama una maisha ya kula kitaa mara nyingi chagua sehemu za kuamini sio kila sehemu tu.
Kuna wauzaji wengi tu wa chakula hutumia vyakula vinavyokaribia kuharibika au vyenye ubora wa chini ili kuongeza faida.
 
📌📌📌

Njia rahisi za kuishi maisha yako

1. Acha kulaumu wengine kwa maisha yako

2.Acha kumfurahisha kila mtu.

3. Jifunze kuridhika na vile vitu vidogo ulivyonavyo

4. Sherehekea mafanikio yako mara nyingi zaidi

5. Kaa mbali na watu ambao ni hatari kwa afya yako ya akili na hisia

Nakubaliana na wewe
 
NAKUBALI
 
Back
Top Bottom