Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mzee ww kama haupo vile kumbe daaah acha bhana.Ni mambo ya kushangaza mkuu,
Ghafla mawasiliano yamekatika
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Mzee ww kama haupo vile kumbe daaah acha bhana.Ni mambo ya kushangaza mkuu,
Ghafla mawasiliano yamekatika
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
ExactlyA better place to live
Mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]tutaanza kukuogopa kama huyo jamaa anatambua uwezo wakoMshara jr anatambua uwezo wangu[emoji2] [emoji2]
sent from my Samsung smart tv using JamiiForums
Heshima yako mkuu!Kwa heshima ya SHIMBA YA BUYENZE
Nilisikia umemvalisha pete sammyluv juzi ulikuwa unamnywesha uji nsamaka.Cole Williams angalia watu wanakuona si pekee tu nilikuwa nashangaa sana.
Pamoja nduguHeshima yako mkuu!
ho chi minh na andjul angalia hii sentensi vizuri hivi haidhibitishi huyu ndugu yangu alinitenga kweli kweli hadi hajui nini ninaendelea juu yangu hivi karibuni. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amna penzi lake tamu mpaka linanifanya muda wote niwenae lakini tupo pamoja vip sammyluv mzima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna cha mabwana wala nini. Inasemekana ni mahaba niue. Janga la kitaifa!Bado labda hawajajua kuwa labda wana share mabwan* kwenye nani chao.
Nipo kamanda wa pwani. Offer yako ya mlenda bado ipo? Wikendi imenidodea!SHIMBA YA BUYENZE habari mwana kolomije
Sent from my HUAWEI CUN-L21 using JamiiForums mobile app