La kuku na chapati mbiliPaja
Chenye ndevuKidevu
Mkuu umepokea kijiti cha Coco kuhusu methali na misemo? Mimi naikusanya yote naiandikia kakitabu kuonyesha jinsi ilivyobadilika kimaana na kimatumizi. Nikianza kupiga hela msije mkaanza kunidai loyalties [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asiye kujua hakuthamini