Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Chelsea FC transfer news: Pierre-Emerick Aubameyang 'close to joining Premier League champions in £65m deal'
Konyagi? Dosage yake ikoje?Konyagi+limao+asali=coughing medication
ho chi minh mzee mwenzangu mueleze huyu jamaa labda undugu unaweza rudi ila sidhani maana kanitenga kweliWewe si ndo Familia yake au Kuna kitu sijui
MakubwaMatako
Kiungo kidogo ila kina mengiUlimi
Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Mkuu umepokea kijiti cha Coco kuhusu methali na misemo? Mimi naikusanya yote naiandikia kakitabu kuonyesha jinsi ilivyobadilika kimaana na kimatumizi. Nikianza kupiga hela msije mkaanza kunidai loyalties [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imekuwaje?Dar hali ya hewa imebadilika
Hyo hapoMwaga likes
...yana raha zake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Makubwa
Poa
Unaweka konyagi ktk glass unakatia vipisi vya limao kisha unatia asali vijiko vitatu ukinywa tu unasikia kifua kinavyosafishikaKonyagi? Dosage yake ikoje?