Kweli? Hata wanaKibiti?BVB 09 ametuwakilisha vyema sana
Cole Williams kilq jioni nilikuwa namkaribisha nyumbani tunakula chakula cha jioni na alikuwa anatoa sifa kedekede za chakula kuwa katika mapishi mazuri.Cole williams nakuomba endelea kuwa karibu na swahiba wako mkubwa Kichwa kichafu,
Amedhoofu sana kwa kuwa mbali nawe,
Jitahdi uoneshe walau tabasamu na ikibidi mkaribishe nyumbani kwako mara kwa mara ili muendeleze udugu wenu!
Wasalaam ndugu karika imaan.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Sammyluv muulize QUIGLEY bro!Amna penzi lake tamu mpaka linanifanya muda wote niwenae lakini tupo pamoja vip sammyluv mzima.
Amna vita we ndugu yangu.Kweli ndugu yangu umenitenga aisee
nsamaka yupo na andjul anauguzwa.
Kuhusu pete kwa sammyluv ni miaka mingi imepita.
Ila Cole Williams umenitenga ndg au kuna vita kati yetu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo ni kila upatapo nafasi we kunywa tuKonyagi? Dosage yake ikoje?
MvMoro
Sent from my SM-P605 using JamiiForums mobile app