Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

15802369_1693368864306753_7109535897091047424_n.jpg
 
Swali langu mkuu ni juu ya ukaribu wenye mashaka na post za AMUR RA,
JE kuna nia yoyote iliyojificha nyuma ya kabati?

Pia unaonekana umeanza kutembea kama mwenye post hizo,
Lakini mshangao uko kwenye umakini wako,
Unalike na ku replay kwa umakini wenye mashaka hivyo kuonesha kuna kitu zaidi ya like tu.
Waaminishe wananchi kuwa wewe ni raia mwema na muungwana tu.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Yangu na Mzee wa liver ni too deep kutuelewa!
He is my soulmate! Old souls!
Heri tuishie hapo hapo!
Ubarikiwe ndugu yangu!
 
Back
Top Bottom