Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Sawa muhengatena
muhenga haswaaaaaaaa
Sawa muhengatena
muhenga haswaaaaaaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] et bubu kaongeaHatimayeeeee....bubu kaongea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mchina kwishaaaa
Mnaelekea wapi?
Sawa sawa ngoja nimalizie kuzikaanga hapa nikupe za moto[emoji23] [emoji23]Likeeess
True my Queen ho chi Minh huyu mchina simaliziiHahahaha thanks my dearest Mzee wa liver
Kweli tumetoka mbali!
17:515:48
Kichwa kichafu you are hilarious!Mnaelekea wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna kupitwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwenye ufalme wetuMnaelekea wapi?
The Gold boss[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]full burudan na uzi wa kulike
Hahahaha mchina hahaTrue my Queen ho chi Minh huyu mchina simalizii
Hizi huwa zinanikosha sana
Asante kwa kumwelewesha my dearYangu na Mzee wa liver ni too deep kutuelewa!
He is my soulmate! Old souls!
Heri tuishie hapo hapo!
Ubarikiwe ndugu yangu!
Precisely my dearestKwenye ufalme wetu
LikesssssssssLikeeess
You are totally welcome my dearestAsante kwa kumwelewesha my dear
HahahahahhaYangu na Mzee wa liver ni too deep kutuelewa!
He is my soulmate! Old souls!
Heri tuishie hapo hapo!
Ubarikiwe ndugu yangu!
Duuuh!!kula chuma cha CHAUMA
Hilo ndio tatizo la mabinti wasio jielewa,kuna wana ndoa wana tengana kwa kupigana mapanga na siku ya siku maisha yanasimama kila mtu kivyake.Alikuwa anapewa nini na Diyamondi mpaka kaamua kuharibu maisha yake kiasi hicho?Mbona wenzie walio achana na Diyamondi maisha yanasonga mbele?Jana kupitia kipindi cha SHILAWADU cha Clouds TV, Hawa alihojiwa na kufunguka mazito sana, Hawa ambaye kwa sasa Afya yake imedhoofu kutokana na maisha ya Ulevi wa Gongo alifunguka siri ambayo hakuna mtu aliwahi kuijua “Mie Diamond Alikuwa Mpenzi wangu, na Tuliishi kama Mke na Mume kabisa hapo nyuma…ila Haikuwa Riziki yangu, japokuwa Inaniuma sana sasa hivi” Alifunguka Hawa Ambaye kiukweli alikuwa Anatia Huruma kutokana na Hali ya kiafya aliyokuwa nayo.
Haka kazeee haka