Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hilo ndio tatizo la mabinti wasio jielewa,kuna wana ndoa wana tengana kwa kupigana mapanga na siku ya siku maisha yanasimama kila mtu kivyake.Alikuwa anapewa nini na Diyamondi mpaka kaamua kuharibu maisha yake kiasi hicho?Mbona wenzie walio achana na Diyamondi maisha yanasonga mbele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…