Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naona uko peke yako,
Lakini kichwa kwa nini ukiona watu wako vizuri unachanganyikiwa?
Jaribu kutulia tu mambo yajiendeshe,
Nini umezungumza,
Huoni utasababisha kutoaminika tena?
Ulikaribishwa kwa Cole wiliams sijui kama utaachwa peke yako sebuleni,
Na umeshauriwa kutojihusisha na mambo hayo mpaka hapo utakapofanyiwa upasuaji lakini hutaki kuelewa.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…