Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Habari ISIS na mzee wa liver.

Napenda kuwapa taarifa kidogo kuwa mchina ho chi minh
Amepata matatizo ya akili baada ya kusikia habari hii.

Kwa sasa nipo nampeleka hospital kwa kutumia huu mgongo wa chura japo break hazikamati vizuri.

Mzee huyu aliyeanza kuvaa modo jana kwa sasa hali yake si nzuri huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haki ya Mola wangu walahi
Hahahaha mbavu zangu jamani
 
Hilo ndio tatizo la mabinti wasio jielewa,kuna wana ndoa wana tengana kwa kupigana mapanga na siku ya siku maisha yanasimama kila mtu kivyake.Alikuwa anapewa nini na Diyamondi mpaka kaamua kuharibu maisha yake kiasi hicho?Mbona wenzie walio achana na Diyamondi maisha yanasonga mbele?
Tatizo moyo baba moyo sio akili yake
 
Back
Top Bottom