Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Bila kasinimekuja kugawa vyuma leo
Bila kasinimekuja kugawa vyuma leo
Vipi tena mkuu?Mmmmhhhh!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona mzee wa liver alikuwa anaogopa?
Nahisi ni mpango wa kumfichia aibu mzee wa liver.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kwa wote[emoji23] [emoji23] mzee wa fursa
Bila nongwaApokee vyombo hvyo
Yap Kichwa kichafu
Cha nguvunaanza na wewe kula chuma hicho
Sema mzee wa AMUN RA!The one and only
Bado kidogoMbio bado tu!?
Bila korombezeoNaww pokea kiroho safi
Tutaacha kukuuliza maswali pale utakapo weza kutabiri mwisho wa huu uzi wapi?Sitaki tena maswali
Huyu muhenga ni shida kweli kweli
unaanzaje kufeli shule kama hiyo wakati wameshapewa mkwara kwamba wakifeli tu kitawatokea kama yanayowatokea viongozi wao lolHongereni kibiti
![]()
Kwa upendo lakiniNakuchinja na like nyingine buzitata
HatariSpartacus
andjul njoo pande za huku
Brothers without bordersGood evening my dear