Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ZAMBIA Mzungu amekamatwa kwa kumlisha chatu wake wanawake anaowaingiza kwake kwa ajili ya kufanya mapenzi. Inaelezwa kuwa kila mwanamke wa kiafrika aliyekuwa akiingia katika nyumba yake hatoki tena. Majirani wakatoa taarifa ndipo alipofuatiliwa na kukamatwa huku nyoka wake akiwa amemmeza binadamu anaehisiwa ni mmoja wa wanawake aliowaingiza kwake siku moja nyuma..Hakika huu ni Unyama wa kutisha... JE UNAHISI MZUNGU HUYU APEWE ADHABU GANI KALI??? FUNGUKA HAPA MDAUView attachment 542926
Kuna watu wanaroho za kishetani
 
Habari ISIS na mzee wa liver.

Napenda kuwapa taarifa kidogo kuwa mchina ho chi minh
Amepata matatizo ya akili baada ya kusikia habari hii.

Kwa sasa nipo nampeleka hospital kwa kutumia huu mgongo wa chura japo break hazikamati vizuri.

Mzee huyu aliyeanza kuvaa modo jana kwa sasa hali yake si nzuri huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] acha nipitishe mchango wa matibabu
 
Hongereni kibiti
d2aa5b9ce113fd54679af08f22e81354.jpg
Wamefanya vizuri sana. Hongera mwenyekiti Kichwa Kichafu na uongozi wote!
 
Habari ISIS na mzee wa liver.

Napenda kuwapa taarifa kidogo kuwa mchina ho chi minh
Amepata matatizo ya akili baada ya kusikia habari hii.

Kwa sasa nipo nampeleka hospital kwa kutumia huu mgongo wa chura japo break hazikamati vizuri.

Mzee huyu aliyeanza kuvaa modo jana kwa sasa hali yake si nzuri huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] no comments
 
Back
Top Bottom