myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️Huenda tunaishi katika neema ambazo tuliwahi kupiga goti kumuomba Mungu atujaalie neema hizo. Hatujioni kwa sababu mioyo ya mwanadamu si yenye kushukuru hata kwa kidogo. Ikipata pesa inataka tatu na ikipata tatu inataka tano