myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️Kuna Wakati Unachoka kuwa na Matumaini. Si kwa sababu Umekata Tamaa, Bali kwa sababu Matarajio Yamekuchosha Kupita Maumivu
✔️✔️Kuna Wakati Unachoka kuwa na Matumaini. Si kwa sababu Umekata Tamaa, Bali kwa sababu Matarajio Yamekuchosha Kupita Maumivu
📌📌📌Maisha bhana Kuna Muda Unaweza saidiwa Na Mtu Uliyemdharau Na Ukapuuzwa Na Mtu Uliyemtarajia.
NakubalianaIshi Na Watu Vizuri Hata Kama Hawana Msaada Kwenye Maisha Yako
👍👍Kuna Wakati Unachoka kuwa na Matumaini. Si kwa sababu Umekata Tamaa, Bali kwa sababu Matarajio Yamekuchosha Kupita Maumivu
✔️✔️✔️Maisha bhana Kuna Muda Unaweza saidiwa Na Mtu Uliyemdharau Na Ukapuuzwa Na Mtu Uliyemtarajia.
AiseeKuna wakati wa kula Unachopata na kuna wakati unakula Unachotaka, Zote ni Baraka
AiseeKuna wakati wa kula Unachopata na kuna wakati unakula Unachotaka, Zote ni Baraka
Ishi Na Watu Vizuri Hata Kama Hawana Msaada Kwenye Maisha Yako
AiseeUsiangalie Maisha Yako Na Ya Mtu Mwingine, Kila Mtu Ana Saa Yake Ya Mafanikio.
UjumbeHakuna Aliye na kila kitu, lakini kila mtu Ana kitu cha kushukuru. Kuwa na shukrani Kunakuweka kwenye Hali ya Furaha Na Utulivu.
📌📌Hakuna Aliye na kila kitu, lakini kila mtu Ana kitu cha kushukuru. Kuwa na shukrani Kunakuweka kwenye Hali ya Furaha Na Utulivu.
SawasawaHakuna Aliye na kila kitu, lakini kila mtu Ana kitu cha kushukuru. Kuwa na shukrani Kunakuweka kwenye Hali ya Furaha Na Utulivu.
✔️✔️✔️Hakuna Aliye na kila kitu, lakini kila mtu Ana kitu cha kushukuru. Kuwa na shukrani Kunakuweka kwenye Hali ya Furaha Na Utulivu.
Ukiona mtu anaonekana yuko sawa sana, anakula vizuri, Anavaa vizuri, Anaongea vizuri..Usikimbilie kumuonea wivu. Pengine Naye Analala usiku mmoja tu kwa siku 3
Hili sawaHakuna Aliye na kila kitu, lakini kila mtu Ana kitu cha kushukuru. Kuwa na shukrani Kunakuweka kwenye Hali ya Furaha Na Utulivu.
Usiangalie Maisha Yako Na Ya Mtu Mwingine, Kila Mtu Ana Saa Yake Ya Mafanikio.
Kuna wakati unapitia magumu sana kwenye mapambano yako ukiwa peke yako hutamuona rafiki wala ndugu akitoa msaada unachopaswa kufanya ni kuweka imani yako kwa Mungu bila kukata tamaa
SawasawaKuna vitu inakubidi mpaka ukue ndipo uelewe, mfano watoto wanajua soda ni tamu wakati watu wazima wanaelewa mate ni matamu ila Kuna muda yanageuka shubiri
SawasawaKuna vitu inakubidi mpaka ukue ndipo uelewe, mfano watoto wanajua soda ni tamu wakati watu wazima wanaelewa mate ni matamu ila Kuna muda yanageuka shubiri