myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌📌Kwenye Maisha Unapofurahia Na kushangilia Ushindi, Usisahau kujipanga kwa Changamoto inayofuata. Kila ushindi Huvuta Majaribu. Hakuna Mteremko Usiofuatiwa Na kilima.
📌📌📌Kwenye Maisha Unapofurahia Na kushangilia Ushindi, Usisahau kujipanga kwa Changamoto inayofuata. Kila ushindi Huvuta Majaribu. Hakuna Mteremko Usiofuatiwa Na kilima.
✔️✔️✔️Kwenye maisha kuwa tayari kwa jambo lolote muda wowote, Usitegemee kila kitu kitaenda kama ulivyo panga.
UjumbeKuna wakati UTALAZIMIKA kufanya vitu vyako kwa UKIMYA ili KUJILINDA hadi pale vitakapokamilika
✅️✅️✅️Acha Kutafuta Watu wa kukuhurumia,Watu Siku hizi hawajali tena.Anza kuandika hadithi Ya Maisha Yako Unayotaka kuisoma.
Acha Kutafuta Watu wa kukuhurumia,Watu Siku hizi hawajali tena.Anza kuandika hadithi Ya Maisha Yako Unayotaka kuisoma.
Acha Kutafuta Watu wa kukuhurumia,Watu Siku hizi hawajali tena.Anza kuandika hadithi Ya Maisha Yako Unayotaka kuisoma.
Usiruhusu yaliyopita yakukandamize. Ni somo tu, si hukumu ya maisha. Una nguvu ya kuandika ukurasa mpya
Kwenye maisha kuwa tayari kwa jambo lolote muda wowote, Usitegemee kila kitu kitaenda kama ulivyo panga.
✔️✔️✔️Kuna wakati UTALAZIMIKA kufanya vitu vyako kwa UKIMYA ili KUJILINDA hadi pale vitakapokamilika
Binadamu Tuna Tabia Ya Kuamini Uongo Kuliko Ukweli. Kwa Hiyo Jifunze Kukaa Kimya Acha Kujielezea Sana.
👍👍👍Thamani Yako Kwa Mtu Ikipotea, Ni rahisi sana Kuonekana Mkosefu Kila Unapojaribu Kuwa Bora Maishani Mwake
✔️✔️Thamani Yako Kwa Mtu Ikipotea, Ni rahisi sana Kuonekana Mkosefu Kila Unapojaribu Kuwa Bora Maishani Mwake
✅️📌✅️Punguza Kuvumilia Kila Kitu, Wakati mwingine Mtu Anakukosea kwa Kuamini Kuwa Utamvumilia Tena.
✔️✔️✔️Usijilinganishe Na Mtu Wee Kaza Tu Wakati Wako Ukifka Mungu Atakunyanyua Kama Alivyo Wanyanyua Wengine.
Jifunze Kujifufa Machozi Mwenyewe Maana siyo kila Anaekupa Pole Anamaanisha.
Kila shida ni Mwaliko wa kujifunza na kukua. Usiogope kushindwa, Bali ogopa kukaa Mahali bila kujaribu.
Kwa MUNGU Hakuna Siku inayopotea Bure, kila iitwapo Leo Basi Kuna Jambo Mungu Amepanga Kutenda kwenye Maisha Yako
Kwa MUNGU Hakuna Siku inayopotea Bure, kila iitwapo Leo Basi Kuna Jambo Mungu Amepanga Kutenda kwenye Maisha Yako
✔️✔️Usitafute Heshima Ukiwa Bado Unajitafuta Bali Heshima Itakufata Ukiwa Umeshajipata
👍👍👍Usitafute Heshima Ukiwa Bado Unajitafuta Bali Heshima Itakufata Ukiwa Umeshajipata