myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AiseeMatatizo Ni mwisho wa sura na sio mwisho wa kitabu.
AiseeMatatizo Ni mwisho wa sura na sio mwisho wa kitabu.
✅️✅️Matatizo Ni mwisho wa sura na sio mwisho wa kitabu.
📌📌Matatizo Ni weusi ulioko nyuma, mbele Ni kweupe pee!
✅️✅️✅️Matatizo Ni sumaku inayokuvuta uwe karibu na Mungu.
✔️✔️✔️Matatizo Ni mawimbi katika bahari ya maisha
👍👍👍Ili uwe mkubwa usikatae fursa za kuwa mdogo. Na kila fursa inayokuja mbele yako usiidharau. Ina kusudi maalumu.
✅️✅️Ili uwe mkubwa usikatae fursa za kuwa mdogo. Na kila fursa inayokuja mbele yako usiidharau. Ina kusudi maalumu.
📌📌📌Ili uwe mkubwa usikatae fursa za kuwa mdogo. Na kila fursa inayokuja mbele yako usiidharau. Ina kusudi maalumu.
SawasawaMatatizo Ni Mtihani.
SawasawaMatatizo Ni Mtihani.
✔️✔️Matatizo Ni mawimbi katika bahari ya maisha
SawasawaMatatizo Ni Mtihani.
Ndugu yangu, kisichokuua kinakukomaza. Mambo magumu yanapozidi kuja watu wagumu wanasonga mbele
Mungu anawapa ndege chakula, lakini haweki kwenye viota vyao
Mungu anawapa ndege chakula, lakini haweki kwenye viota vyao
Tenda mema bila kuangalia malipo unayopewa
✅️✅️✅️Jitahidi sana, nasema jitahidi uwe na kitu kinachokutambulisha wewe popote unapoishi au jumuia ulipo, wasipokuona wewe waone ishara yako au kazi yako.
📌📌Jitahidi sana, nasema jitahidi uwe na kitu kinachokutambulisha wewe popote unapoishi au jumuia ulipo, wasipokuona wewe waone ishara yako au kazi yako.
✔️✔️✔️Ndugu yangu, kisichokuua kinakukomaza. Mambo magumu yanapozidi kuja watu wagumu wanasonga mbele
Ndugu yangu, kisichokuua kinakukomaza. Mambo magumu yanapozidi kuja watu wagumu wanasonga mbele