myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👍👍Mungu anawapa ndege chakula, lakini haweki kwenye viota vyao
👍👍Mungu anawapa ndege chakula, lakini haweki kwenye viota vyao
AiseeWaache watu wakuchukulie poa, usikubali hata siku moja kujichukulia poa. Wewe Ni wathamani, wewe Ni Lulu, wewe ni dhahabu.
📌📌📌Waache watu wakuchukulie poa, usikubali hata siku moja kujichukulia poa. Wewe Ni wathamani, wewe Ni Lulu, wewe ni dhahabu.
👍👍👍Waache watu wakuchukulie poa, usikubali hata siku moja kujichukulia poa. Wewe Ni wathamani, wewe Ni Lulu, wewe ni dhahabu.
✅️✅️✅️Kuchukiwa na kukataliwa Ni mwanzo mzuri wa kupasua anga. Huhitaji TBS kuthibitisha unachokiamini.
📌📌📌Matatizo sio tatizo kwa mtu mwenye unyofu wa moyo, kinyume Cha hapo matatizo Ni zaidi ya matatizo
SawasawaMungu anawapa ndege chakula, lakini haweki kwenye viota vyao
✔️✔️✔️Matatizo ni mawe ya kuvukia.
SawaMatatizo ni changamoto
UjumbeHivi mtu unatembeleaje gari kali la mkopo alafu umepanga.Kwanini usijenge kwanza ndiyo uendelee na mambo mengine.Jenga hata kibanda cha matope, watu waseme pale ni kwa fulani.Unaona sawa tu kuishi na familia yako kwenye nyumba za watu.Una uhakika gani kuwa hiyo kazi yako itadumu kwa miaka kadhaa.Siku ukifukuzwa kazini unakuwa kama mjinga fulani hivi ambaye amechanganyikiwa.Unakosa hata uanzie wapi.Mnakuja kutia huruma sana ninyi watu.Alafu msiposaidiwa mnaanza kama kulaani hivi, kumbe ni kwa sababu ya upumbavu wenu.
Mabwege ninyi.
👍👍👍Kila tatizo Ni zawadi, bila matatizo tusingekua. Matatizo Ni fursa ya kukua.
✅️✅️✅️Kila tatizo Ni zawadi, bila matatizo tusingekua. Matatizo Ni fursa ya kukua.
📌📌Tatizo sio kwamba Kuna matatizo, tatizo ni kutegemea vinginevyo na kufikiri kwamba kuwa na matatizo ni tatizo.
✔️✔️✔️Tatizo sio kwamba Kuna matatizo, tatizo ni kutegemea vinginevyo na kufikiri kwamba kuwa na matatizo ni tatizo.
Ukiwa huna hela ukiona watu wanakunywa supu asubuhi unaona kama vile wanachezea mboga
Sasa Huo Ndio Ukubwa Uliokua Unaongelewa Kipindi Uko Mdogo, Yaani Unapitia Magumu na Hakuna Mtu wa Kukupa Pole
Sasa Huo Ndio Ukubwa Uliokua Unaongelewa Kipindi Uko Mdogo, Yaani Unapitia Magumu na Hakuna Mtu wa Kukupa Pole
Ni kweli Maisha Ni Magumu Lakini Wewe Usiwe Mgumu Kutafuta Maisha.
Kwenye Maisha Unapofurahia Na kushangilia Ushindi, Usisahau kujipanga kwa Changamoto inayofuata. Kila ushindi Huvuta Majaribu. Hakuna Mteremko Usiofuatiwa Na kilima.
Ni kweli Maisha Ni Magumu Lakini Wewe Usiwe Mgumu Kutafuta Maisha.