myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️Huenda tunaishi katika neema ambazo tuliwahi kupiga goti kumuomba Mungu atujaalie neema hizo. Hatujioni kwa sababu mioyo ya mwanadamu si yenye kushukuru hata kwa kidogo. Ikipata pesa inataka tatu na ikipata tatu inataka tano
👍👍👍Huenda tunaishi katika neema ambazo tuliwahi kupiga goti kumuomba Mungu atujaalie neema hizo. Hatujioni kwa sababu mioyo ya mwanadamu si yenye kushukuru hata kwa kidogo. Ikipata pesa inataka tatu na ikipata tatu inataka tano
✔️✔️✔️Maneno mazuri ya hekima ni katika sehemu ya uadilifu kwa mwanadamu yeyote. Awe kiongozi au muongozwa ni muhimu kuwa makini na kila neno linalotoka katika kinywa chake. Yanamtoka mtu maneno hadi unajiuliza kama ana wazazi au watoto nyumbani.
Maneno mazuri ya hekima ni katika sehemu ya uadilifu kwa mwanadamu yeyote. Awe kiongozi au muongozwa ni muhimu kuwa makini na kila neno linalotoka katika kinywa chake. Yanamtoka mtu maneno hadi unajiuliza kama ana wazazi au watoto nyumbani.
Maneno mazuri ya hekima ni katika sehemu ya uadilifu kwa mwanadamu yeyote. Awe kiongozi au muongozwa ni muhimu kuwa makini na kila neno linalotoka katika kinywa chake. Yanamtoka mtu maneno hadi unajiuliza kama ana wazazi au watoto nyumbani.
Ni rahisi sana kusema huna muda unapohitajika ila ni ngumu sana pale unaposikia kutoka kwa mwenzio unapomuhitaji mtu.
SawaSiku zote watu hupongeza au kukosoa matokeo na sio chanzo.
SahihiSiku zote watu hupongeza au kukosoa matokeo na sio chanzo.
UJUMBE WA MAANAMaisha ya Dunia ni pambo la udanganyifu na ni starehe ya muda mfupi. Basi yaishi kwa wema.
👍👍👍Ushua haulazimishwi. Kama wa kishua wa kishua tu haihitaji nguvu kubwa kuaminisha watu.
✅️✅️✅️Maisha ya Dunia ni pambo la udanganyifu na ni starehe ya muda mfupi. Basi yaishi kwa wema.
AiseeHuwa inatia furaha sana na inaleta utulivu wa moyo na akili pale ambapo mtu unakuwa na maelewano mazuri na ndugu zako. Kuna heri nyingi katika kuelewana na ndugu na kusameheana pale ambapo panapotokea utofauti baina ya ndugu.
👍👍Kulalamika Ndio Njia Pekee Ya Kukufanya Ushindwe Kuwa Bora, Haijalishi Nani Kakutendea nini
Aisee...Kulalamika Ndio Njia Pekee Ya Kukufanya Ushindwe Kuwa Bora, Haijalishi Nani Kakutendea nini
Hili naloMaumivu ya kiroho Hayaonekani kwa Macho, lakini yanabeba uzito wa maisha yote. Hilo ndilo pigo lenye heshima.
AiseeHuwa inatia furaha sana na inaleta utulivu wa moyo na akili pale ambapo mtu unakuwa na maelewano mazuri na ndugu zako. Kuna heri nyingi katika kuelewana na ndugu na kusameheana pale ambapo panapotokea utofauti baina ya ndugu
Daima hata kama ukialikwa kukaa kwenye meza ya bure, Jifunze kula kile unachoweza kumudu kununua.
Kuna Watu Wanasaidia kila Mtu si kwa Sababu ni Wema sana—wanajua Maumivu ya kuomba Msaada Ukakosa.
Muhimu sanaKuna Watu Wanasaidia kila Mtu si kwa Sababu ni Wema sana—wanajua Maumivu ya kuomba Msaada Ukakosa.
Maisha Ni Safari Ya Kujifunza, Kuvumilia, Na Kushukuru Katika Kila Hatua