myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✅️✅️Ni bora anayesababisha furaha na heri ya maisha yako kuliko mtu anayekupa vitu kwani vitu hawiwezi kujenga utu, utu unajenga vitu."
✅️✅️Ni bora anayesababisha furaha na heri ya maisha yako kuliko mtu anayekupa vitu kwani vitu hawiwezi kujenga utu, utu unajenga vitu."
📌📌Epuka kutanguliza tamaa ya mafanikio ya haraka ambayo itakufanya usidumu katika Furaha yenye Amani.
✔️✔️✔️Kushindwa ni fursa ya kuanza tena kwa bidii mpya.
✅️✅️✅️Kushindwa ni fursa ya kuanza tena kwa bidii mpya.
✔️✔️✔️Kuwa na lengo kubwa, lakini usisahau kufurahia safari yako.
📌📌📌Kusudi la maisha ni kukua na kuwa bora kuliko ulivyokuwa jana.
✅️✅️✅️Kusudi la maisha ni kukua na kuwa bora kuliko ulivyokuwa jana.
Kusudi la maisha ni kukua na kuwa bora kuliko ulivyokuwa jana.
UbunifuUbunifu ni uwezo wa kuona kitu katika hali mpya na tofauti.
SawaUbunifu ni uwezo wa kuona kitu katika hali mpya na tofauti.
✔️✔️✔️Ubunifu ni uwezo wa kuona kitu katika hali mpya na tofauti.
Ni bora anayesababisha furaha na heri ya maisha yako kuliko mtu anayekupa vitu kwani vitu hawiwezi kujenga utu, utu unajenga vitu."
Punguza maelezo, fanya.
Mambo mengine huihitaji hatua zaidi ya maneno.
Hata ukimya ni hatua ya busara.
Punguza maelezo, fanya.
Mambo mengine huihitaji hatua zaidi ya maneno.
Hata ukimya ni hatua ya busara.
✅️✅️Punguza maelezo, fanya.
Mambo mengine huihitaji hatua zaidi ya maneno.
Hata ukimya ni hatua ya busara.
Ukijenga bonde hakikisha siku ukihitaji kuvuka ng'ambo aidha una mbao za kujengea daraja au mtumbwi wa kuvukia.
✔️✔️✔️Ni bora anayesababisha furaha na heri ya maisha yako kuliko mtu anayekupa vitu kwani vitu hawiwezi kujenga utu, utu unajenga vitu."
HEKIMAHekima ni fikra inayotoka moyoni, busara ni hekima inayozungumzwa.
SAWASAWAPunguza maelezo, fanya.
Mambo mengine huihitaji hatua zaidi ya maneno.
Hata ukimya ni hatua ya busara.