myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaUkiwa na nyundo unaona kila tatizo kama msumari
SawaUkiwa na nyundo unaona kila tatizo kama msumari
PesaPesa ya kuahidiwa utapewa au unaisikilizia usiipangie matumizi wala usijekopa sehemu kwa kuamini pesa ikija utalipa deni.
Sawasamaki akiachwa na maji hawezi kuyafuata ni lazima maji yarudi ndo aweze kuondoka nayo
Pesa✔️✔️✔️Pesa ya kuahidiwa utapewa au unaisikilizia usiipangie matumizi wala usijekopa sehemu kwa kuamini pesa ikija utalipa deni.
SawaPesa ya kuahidiwa utapewa au unaisikilizia usiipangie matumizi wala usijekopa sehemu kwa kuamini pesa ikija utalipa deni.
✅️✅️✅️samaki akiachwa na maji hawezi kuyafuata ni lazima maji yarudi ndo aweze kuondoka nayo
👍👍👍Hakuna haja ya kubaki karibu na watu wanaokufanya ujihisi kama chaguo la mwisho, ilhali wewe huwaweka wa kwanza kila mara.
📌📌Hakuna haja ya kubaki karibu na watu wanaokufanya ujihisi kama chaguo la mwisho, ilhali wewe huwaweka wa kwanza kila mara.
SawaWakati Mwingine, Kubarikiwa Hakumaanishi Kupata Zaidi bali Kuachilia Kilichokufa ili ....Ushike Kilicho Hai
SawaNyamazisha kila sauti ya woga na upungufu unaothubutu kupanda ndani yako.
Kwa sababu hiyo sio yako kamwe! Hofu sio yako kamwe, na uhaba sio wako.
Ujumbe huuAmua Kuanza Leo Kwa Kile Ulicho Nacho Kwa Jinsi Ulivyo Na Vile Unavyo Weza....
Usidharau
Mwanzo Mdogo Umebeba Mafanikio Yako
Haya..Amua Kuanza Leo Kwa Kile Ulicho Nacho Kwa Jinsi Ulivyo Na Vile Unavyo Weza....
Usidharau
Mwanzo Mdogo Umebeba Mafanikio Yako
✔️✔️Wakati Mwingine, Kubarikiwa Hakumaanishi Kupata Zaidi bali Kuachilia Kilichokufa ili ....Ushike Kilicho Hai
✅️✅️Amua Kuanza Leo Kwa Kile Ulicho Nacho Kwa Jinsi Ulivyo Na Vile Unavyo Weza....
Usidharau
Mwanzo Mdogo Umebeba Mafanikio Yako
👍👍Usichoke kupambana. Mtegemee Mungu, wanadamu huzima simu.
📌📌Usichoke kupambana. Mtegemee Mungu, wanadamu huzima simu.
✔️✔️Usichoke kupambana. Mtegemee Mungu, wanadamu huzima simu.
✅️✅️Nyamazisha kila sauti ya woga na upungufu unaothubutu kupanda ndani yako.
Kwa sababu hiyo sio yako kamwe! Hofu sio yako kamwe, na uhaba sio wako.
👍👍Sio kila anayekusalimia kwa tabasamu anakuheshimu,wengine ni waungwana kwa nje tu lakini ndani wamejaa dharau.
✔️✔️Sio kila anayekusalimia kwa tabasamu anakuheshimu,wengine ni waungwana kwa nje tu lakini ndani wamejaa dharau.