myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Fikiria kabla ya kusema, lakini usisite kusema unachofikiria.
Malengo muhimuKuwa na lengo kubwa, lakini usisahau kufurahia safari yako.
SawasawaAmani si kutokuwa na matatizo bali ni uwezo wa kutulia katikati ya matatizo hayo kwa muda huku ukitafakari kwa busara na hekima namna bora ya kutatua matatizo hayo pasipo uvunjifu wa amani.
Amani si kutokuwa na matatizo bali ni uwezo wa kutulia katikati ya matatizo hayo kwa muda huku ukitafakari kwa busara na hekima namna bora ya kutatua matatizo hayo pasipo uvunjifu wa amani.
📌📌Baadhi ya watu hawapendi kuzoeana na kila mtu Sio kama wanajisikia au kiburi ni kwa sababu walisalitiwa na kila mtu waliyemwamini.
Amani si kutokuwa na matatizo bali ni uwezo wa kutulia katikati ya matatizo hayo kwa muda huku ukitafakari kwa busara na hekima namna bora ya kutatua matatizo hayo pasipo uvunjifu wa amani.
✅️✅️Kuwa na lengo kubwa, lakini usisahau kufurahia safari yako.
👍👍Kuna watu wanakuonea Wivu, si kwa sababu wanataka ulichonacho, Hapana hawataki wewe uwe nacho
Kuna watu wanakuonea Wivu, si kwa sababu wanataka ulichonacho, Hapana hawataki wewe uwe nacho
SawaBaadhi ya watu hawapendi kuzoeana na kila mtu Sio kama wanajisikia au kiburi ni kwa sababu walisalitiwa na kila mtu waliyemwamini.
✅️✅️Ficha huzuni yako, hakuna anayejali. Dunia haijali hisia zako inajali matokeo yako
Ipende sana familia yako, Hao ndio watakua watu wa mwisho kuondoka kwenye kaburi lako.
Sawa pia hiliIpende sana familia yako, Hao ndio watakua watu wa mwisho kuondoka kwenye kaburi lako.
Ficha huzuni yako, hakuna anayejali. Dunia haijali hisia zako inajali matokeo yako
Ipende sana familia yako, Hao ndio watakua watu wa mwisho kuondoka kwenye kaburi lako.
Ficha huzuni yako, hakuna anayejali. Dunia haijali hisia zako inajali matokeo yako
SawaUnapojisimamia, dunia inakusimamia.
SawasawaUnapojisimamia, dunia inakusimamia.
Ujumbe muhimuKushindwa ni fursa ya kuanza tena kwa bidii mpya.
SawasawaUnapojisimamia, dunia inakusimamia