myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ukitaka kujua ugumu wa Kuishi na mtu ni nyakati ambayo moyo wako umekubali kumchukia
👍👍👍Mambo mawili yanakutambulisha: subira yako unapokuwa huna kitu, na mtazamo wako unapokuwa na kila kitu.
Abrahamu Lincoln
📌📌📌Kuna wakati utafika maisha yataondoa kila kitu kinacho kupatia furaha, ishi ukiamini hakuna kitakacho dumu milele.
Muhimu sanaMambo mawili yanakutambulisha: subira yako unapokuwa huna kitu, na mtazamo wako unapokuwa na kila kitu.
Abrahamu Lincoln
Nakubaliana na weweKuna wakati utafika maisha yataondoa kila kitu kinacho kupatia furaha, ishi ukiamini hakuna kitakacho dumu milele.
Ni ukweliMaisha sio mashindano. Pumzika, jipe muda, songa mbele.
Anza siku kwa shukrani, ili kupunguza baadhi ya matatizo.
Ntahakikisha hiliIkiwa hujatokea kwenye familia nzuri.
Hakikisha familia nzuri inatoka kwako.
Penda kushauriwa na watu wasiokujua,binadamu hawapendi wakuone na walichokikosa!!
NtafanyaFanya amani na kilichopita; usikubali kikuharibie leo.
SawasawaMalengo bila nidhamu ni ngumu kuyatimiza
SawasawaMafanikio yako ni siri yako kuna watu hawapendi kuyasikia.