myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
👍👍👍
Matokeo ya mtu mtu muoga akibadilika na kuwa jasiri
1. Hujiamini zaidi bila kuoga kitu.
2. Hukabili changamoto bila woga.
3. Huinua hadhi yake kwa jamii.
4. Hufikia malengo kwa ufanisi.
5. Huwa kiongozi wa kuigwa.