myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔️✔️✔️
Konda Kanyamaza Dereva Kataja Kituo Konda Kamuuliza "UNASHUKA WEWE AU
Konda Kanyamaza Dereva Kataja Kituo Konda Kamuuliza "UNASHUKA WEWE AU
✅️✅️Nilichokuja kuamini ni kuwa Mungu anajibu maombi yetu sema inategemea na uvumilivu wetu na imani yetu juu ya kile Tunachokiomba
📌📌📌Mtu wa karibu ndiye atakae kuumiza, ukiona mtu wa mbali amekuumiza ujue katumwa.
SawasawaHakuna Mpito Usio Na Kikomo, Hakuna Usiku Usiokuwa Na Pambazuko, Na Hakuna Marefu Yasiyo Na Ncha. Ukiona Ugumu Unazidi, Ujue Neema Inakaribia.
✅️✅️✅️Kuna Watu Wanaishi Kwa Maumivu Makali Hawana Furaha Hawana Matumaini ila Hawajakata Tamaa Kwasababu Bado Wana PUMZI.
✔️✔️✔️Kuna Watu Wanaishi Kwa Maumivu Makali Hawana Furaha Hawana Matumaini ila Hawajakata Tamaa Kwasababu Bado Wana PUMZI.
📌📌📌Usihukumu vibaya kesho ya mtu kwa kuangalia leo yake...utashangazwa
✅️✅️✅️Kujifunza kupitia makosa ni shule ya walio makini. Sitajilaumu kwa kuanguka, bali nitajivunia kuinuka.
✔️✔️✔️Kupumzika na Kuanza Upya inaruhusiwa Lakini Sio Kukata Tamaa.
Sawa kabisaUkimuheshimu Sana mtu unakua ni uoga na uoga huzaa unafiki na unafiki hupelekea kujisaliti wewe mwenyewe ili kumfurahisha mtu mwingine
📌📌📌Mtu akikupa heshima kabla ya faida, usimwache. Heshima haijifanyi, inatoka rohoni.
Na watu wa namna hiyo ni hazina
✅️✅️✅️Wakati mwengine sio maombi yako yanayokupa baraka bali ni maombi ya wale tulio watendea mema
Sawasawa ✔️ ✔️Hakuna Silaha Na Maneno Yoyote Yaliyopangwa Kukuangamiza Yatakayofanikiwa Kuanzia leo.
📌📌📌Mafanikio yako, yanategemea hivi vitu
-Ujuzi na experience
-Maarifa uliyonayo (mtazamo)
-Maamuzi, Tabia, Imani na kuchukua hatua
Sawasawa kabisa ✔️Hamtoweza kuufikia wema uliokunjuka mpaka mtoe katika vile mnavyovipenda
✅️✅️✅️Mafanikio yako, yanategemea hivi vitu
-Ujuzi na experience
-Maarifa uliyonayo (mtazamo)
-Maamuzi, Tabia, Imani na kuchukua hatua