myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌📌Luck is when preparedness meets opportunity.
📌📌📌Luck is when preparedness meets opportunity.
✔️✔️✔️Wengine Walikuja Kama Marafiki Lakini Sasa ....Wamekuwa Ndugu Zetu
👍👍👍Kuwa hai ni zawadi tosha kuwa bado una nafasi ya kufikia malengo yako.
📌📌📌Kuwa hai ni zawadi tosha kuwa bado una nafasi ya kufikia malengo yako.
✅️✅️✅️Wengine Walikuja Kama Marafiki Lakini Sasa ....Wamekuwa Ndugu Zetu
👍👍👍👍Unapochagua Kukaa Kimya Unamruhusu Mungu Azungumze Kwa Niaba Yako
✔️✔️✔️Hakuna mafanikio makubwa kama kukiweza kitu ambacho wengi wanakishindwa
📌📌📌Hakuna mafanikio makubwa kama kukiweza kitu ambacho wengi wanakishindwa
✅️✅️✅️Unapochagua Kukaa Kimya Unamruhusu Mungu Azungumze Kwa Niaba Yako
Uko SawasawaUsikubali kushindwa pasipo kupambana.
👍👍👍Baadhi ya mafunzo hayatoki kwenye vitabu wala ushauri.
Hutokana na usaliti, maumivu ya kuvunjwa moyo, na kujaribu kumsaidia mtu asiye sahihi.
📌📌📌Baadhi ya mafunzo hayatoki kwenye vitabu wala ushauri.
Hutokana na usaliti, maumivu ya kuvunjwa moyo, na kujaribu kumsaidia mtu asiye sahihi.
✅️✅️✅️Leo tunasimama kwa niaba ya wengine. Wale walio katika matatizo, waliovunjika moyo, waliopoteza tumaini kwa sababu ya ugonjwa, kupoteza wapendwa wao, chanzo cha mapato, au mali. Gusa kila mmoja katika hitaji lake.*
SawasawaJahazi halizamishwi na wingi wa maji ya bahari ila litazama pindi maji yatakapo ingia ndani yake. usiruhusu watu wajue undani wako utazama
👍👍👍Leo tunasimama kwa niaba ya wengine. Wale walio katika matatizo, waliovunjika moyo, waliopoteza tumaini kwa sababu ya ugonjwa, kupoteza wapendwa wao, chanzo cha mapato, au mali. Gusa kila mmoja katika hitaji lake.*
Leo tunasimama kwa niaba ya wengine. Wale walio katika matatizo, waliovunjika moyo, waliopoteza tumaini kwa sababu ya ugonjwa, kupoteza wapendwa wao, chanzo cha mapato, au mali. Gusa kila mmoja katika hitaji lake.*