myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
UkweliSio kila mtu ataelewa ndoto zako na si lazima wazielewe subiri wataona matokeo ya ulivyo fanyia kazi ndoto zako
βοΈβοΈβοΈMara nyingi tunawaza sana kuhusu mafanikio kwa kuwaona wenzetu wamefanikiwa.
Lakini hatuwazi kuhusu njia gani wenzetu wamezitumia mpaka wanafanikiwa.
Ujumbe muhimuMara nyingi tunawaza sana kuhusu mafanikio kwa kuwaona wenzetu wamefanikiwa.
Lakini hatuwazi kuhusu njia gani wenzetu wamezitumia mpaka wanafanikiwa.
Muhimu sanaChumvi haina thamani kwa mtu anayekunywa chai kama ilivyo sukari kwa mtu anayekunywa supu
Hivyo basi amini wewe kuwa ni mtu wa thamani sana ila ni vile tu sehemu uliyopo hakuna uhitaji wako
Chumvi haina thamani kwa mtu anayekunywa chai kama ilivyo sukari kwa mtu anayekunywa supu

Sio kila mtu ataelewa ndoto zako na si lazima wazielewe subiri wataona matokeo ya ulivyo fanyia kazi ndoto zako
Uko Sawasawayaliyopita kwenye maisha yako yoteβni sehemu tu ya uzoefu wako. Unaweza kuyatumia kujifunza na kukua.
Usikubali yaliyopita yaharibu heshima yako kujiamini kwako. Badala yake, elekeza nguvu zako kwenye malengo, ndoto, na mipango yako ya baadaye.
Kweli kabisa hiliAkili inahitajika zaidi katika biashara kuliko hata pesa ya mtaji!!
Nakubaliana na weweyaliyopita kwenye maisha yako yoteβni sehemu tu ya uzoefu wako. Unaweza kuyatumia kujifunza na kukua.
Usikubali yaliyopita yaharibu heshima yako kujiamini kwako. Badala yake, elekeza nguvu zako kwenye malengo, ndoto, na mipango yako ya baadaye.
βοΈβοΈβοΈHaya maisha kila siku huwa yana hadithi zake,
Ambazo ni chanya au hasi .
Lakin jitaidi kuweka hadithi chanya kwenye maisha yako
Hadithi chanyaβοΈHaya maisha kila siku huwa yana hadithi zake,
Ambazo ni chanya au hasi .
Lakin jitaidi kuweka hadithi chanya kwenye maisha yako
Hili sahihiBinadamu uwezi kumfurahisha utamfurahisha na bado atalia na kusema wewe ndo sababu ya kilio chake.
NavumiliaMwanga huja baada ya kiza. Vumilia kidogo.
UJUMBE MUHIMUPesa huzalisha pesa
- Mtaji ni mama wa faida
- Unahitaji pesa ili kutengeneza pesa
SawasawaMatokeo ya mtu mtu muoga akibadilika na kuwa jasiri
1. Hujiamini zaidi bila kuoga kitu.
2. Hukabili changamoto bila woga.
3. Huinua hadhi yake kwa jamii.
4. Hufikia malengo kwa ufanisi.
5. Huwa kiongozi wa kuigwa.
πππMatokeo ya mtu mtu muoga akibadilika na kuwa jasiri
1. Hujiamini zaidi bila kuoga kitu.
2. Hukabili changamoto bila woga.
3. Huinua hadhi yake kwa jamii.
4. Hufikia malengo kwa ufanisi.
5. Huwa kiongozi wa kuigwa.