myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Kweli..Mtu Sahihi Halazimishwi Wala Hatafutwi, Mtu Sahihi Anakuja Kwa Wakati Sahihi Acha Kuitesa Nafsi Yako
Sawa piaMtu Sahihi Halazimishwi Wala Hatafutwi, Mtu Sahihi Anakuja Kwa Wakati Sahihi Acha Kuitesa Nafsi Yako
SawaMungu Katupa Zawadi Ya Akili Tujitambue Na Tujue Njia Zetu Tunazopita.
SawasawaMungu Katupa Zawadi Ya Akili Tujitambue Na Tujue Njia Zetu Tunazopita.
SawasawaJitahidi uwe mfano wa kuigwa sio wa kurekebishia makosa!!
✔️✔️✔️Ukiona watu wananyamaza unapopitia magumu, usikasirike Mungu alipanga upite mwenyewe ili ujue nguvu zako.
Sawa hiliSiku hizi kupendwa hakuna warranty, Hivyo ukipata nafasi ya kujipenda mwenye itumie vizuri.
Nakubaliana na weweSiku hizi kupendwa hakuna warranty, Hivyo ukipata nafasi ya kujipenda mwenye itumie vizuri.
Leo Tena Usisahau Kuwa Mtaji Wa Maskini Ni Nguvu Zake Mwenyewe .....Hivyo Usichoke Kupambana Kwa Nguvu Zako Zote
Ujumbe muhimuSiku hizi kupendwa hakuna warranty, Hivyo ukipata nafasi ya kujipenda mwenye itumie vizuri.
Nidhamu ✔️Nidhamu ni daraja kati ya malengo na mafanikio.
Leo ni leoLeo Tena Usisahau Kuwa Mtaji Wa Maskini Ni Nguvu Zake Mwenyewe .....Hivyo Usichoke Kupambana Kwa Nguvu Zako Zote
NakubalianaLeo Tena Usisahau Kuwa Mtaji Wa Maskini Ni Nguvu Zake Mwenyewe .....Hivyo Usichoke Kupambana Kwa Nguvu Zako Zote
Sawasawa ✔️ ✔️Ukiwa mnyonge, dunia itakuona mzigo. Jifunze kujitetea kimyakimya: kwa kazi zako, mafanikio yako, na amani yako.
Nakubaliana na hiliKama unapitia mambo magumu, kula vizuri na kunywa maji mengi ili upate nguvu ya kuendelee kupitia mambo magumu tena.
👍👍Kama unapitia mambo magumu, kula vizuri na kunywa maji mengi ili upate nguvu ya kuendelee kupitia mambo magumu tena.
Siku hizi kupendwa hakuna warranty, Hivyo ukipata nafasi ya kujipenda mwenye itumie vizuri.
Ukiangalia vizuri,maisha yetu watu weusi yamejawa na hisia tu na muda mwingi tunatumia huko ya kulia na mapenzi,kuyafurahia, mpira,mziki n.kMuda mwingi tunatumikia hisia,muda kidogo sana tunatumia akili kwa usahihi.Ndio mana wakitaka kutupoteza wanachezea na hisia tu.
Ukiangalia vizuri,maisha yetu watu weusi yamejawa na hisia tu na muda mwingi tunatumia huko ya kulia na mapenzi,kuyafurahia, mpira,mziki n.kMuda mwingi tunatumikia hisia,muda kidogo sana tunatumia akili kwa usahihi.Ndio mana wakitaka kutupoteza wanachezea na hisia tu.
Kama unapitia mambo magumu, kula vizuri na kunywa maji mengi ili upate nguvu ya kuendelee kupitia mambo magumu tena.