myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mafanikio ✔️Mafanikio yako ni siri yako kuna watu hawapendi kuyasikia.
Mafanikio ✔️Mafanikio yako ni siri yako kuna watu hawapendi kuyasikia.
Uthubutu...muhimuUthubutu ndio njia ya mkato ya mafanikio,ipite kwa nguvu zote!!
✔️✔️Uthubutu ndio njia ya mkato ya mafanikio,ipite kwa nguvu zote!!
Maisha yako muhimuMaisha mazuri hayaletwi na kazi,fanya biashara!!lazima tuambizane ukweli hapa
SawasawaMjibu mjinga kulingana na ujinga wake,ila huwezi kuwa msafi kwa kuwachafua wengine, Mwenyezi Mungu atakupa unacho style sio unachotaka.Mjibu mjinga kulingana na ujinga wake,ila huwezi kuwa msafi kwa kuwachafua wengine, Mwenyezi Mungu atakupa unacho stahili sio unachotaka
MaishaMaisha mazuri hayaletwi na kazi,fanya biashara!!lazima tuambizane ukweli hapa
SawasawaIli kazi ziende vizuri, ofisi zinahitaji viongozi na sio mabosi maana wafanyakazi wengi hawachoki kazi bali wanachoka kupuuzwa
NakubalianaIli kazi ziende vizuri, ofisi zinahitaji viongozi na sio mabosi maana wafanyakazi wengi hawachoki kazi bali wanachoka kupuuzwa
Uko sawasawaKosa leo, jifunze kesho, fanikiwa keshokutwa.
Nakubaliana na weweUzuri wa maisha hayana mwongozo kila mtu ananjia yake anayopitia kufikia kwenye mafanikio
📌📌Mjibu mjinga kulingana na ujinga wake,ila huwezi kuwa msafi kwa kuwachafua wengine, Mwenyezi Mungu atakupa unacho style sio unachotaka.Mjibu mjinga kulingana na ujinga wake,ila huwezi kuwa msafi kwa kuwachafua wengine, Mwenyezi Mungu atakupa unacho stahili sio unachotaka
Ujumbe muhimuMjibu mjinga kulingana na ujinga wake,ila huwezi kuwa msafi kwa kuwachafua wengine, Mwenyezi Mungu atakupa unacho style sio unachotaka.Mjibu mjinga kulingana na ujinga wake,ila huwezi kuwa msafi kwa kuwachafua wengine, Mwenyezi Mungu atakupa unacho stahili sio unachotaka
MuhimuMjibu mjinga kulingana na ujinga wake,ila huwezi kuwa msafi kwa kuwachafua wengine, Mwenyezi Mungu atakupa unacho style sio unachotaka.Mjibu mjinga kulingana na ujinga wake,ila huwezi kuwa msafi kwa kuwachafua wengine, Mwenyezi Mungu atakupa unacho stahili sio unachotaka
NakubalianaMjibu mjinga kulingana na ujinga wake,ila huwezi kuwa msafi kwa kuwachafua wengine, Mwenyezi Mungu atakupa unacho style sio unachotaka.Mjibu mjinga kulingana na ujinga wake,ila huwezi kuwa msafi kwa kuwachafua wengine, Mwenyezi Mungu atakupa unacho stahili sio unachotaka
IUzuri wa maisha hayana mwongozo kila mtu ananjia yake anayopitia kufikia kwenye mafanikio
👍👍Uzuri wa maisha hayana mwongozo kila mtu ananjia yake anayopitia kufikia kwenye mafanikio
Katika safari ya mafanikio kuna wengine watakutia moyo vile vile kuna wengine watakuvunja moyo yote Katika yote mapambano yenye tija ndio rafiki wa kwelii kufikia mafanikio yako,
NakubalianaWeka mipaka. Si kila mtu ana nia njema na wewe.
Ujumbe muhimuKatika safari ya mafanikio kuna wengine watakutia moyo vile vile kuna wengine watakuvunja moyo yote Katika yote mapambano yenye tija ndio rafiki wa kwelii kufikia mafanikio yako,
✅️✅️Kidogo unachokidharau ndio msingi wa boma la mafanikio yako!!