myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
1✔️✔️✔️Ukishafanikiwa, hakuna mtu anayecheza na missed call zako.
1✔️✔️✔️Ukishafanikiwa, hakuna mtu anayecheza na missed call zako.
Usiache kumheshimu mtu kwa sababu umemzoea sana au kwa sababu amekupa nafasi ya karibu sana, kufamiana isiwe tabu.
Usitarajie Uaminifu Kutoka Kwa Mtu Ambae Yupo Tayari Kufanya Kila Kitu Kwaajili Ya Pesa
Kweli...Usitarajie Uaminifu Kutoka Kwa Mtu Ambae Yupo Tayari Kufanya Kila Kitu Kwaajili Ya Pesa
👍👍👍Usiache kumheshimu mtu kwa sababu umemzoea sana au kwa sababu amekupa nafasi ya karibu sana, kufamiana isiwe tabu.
✔️✔️✔️Usiwalaumu Watu Wengi Kwa Kukuangusha , Bali unapaswa Kujilaumu Peke Yako Kwa Kuwategemea..
📌📌📌Muda umewanyamazisha watu wengi Sana wakiwemo wenye viburi pamoja na wale waliojiona wao ni bora Sana kuliko watu wengine
✅️✅️Watu hawabadiliki kwa sababu ya muda, bali hubadilika wanapoelewa uhalisia wa maisha.
✅️✅️✅️Usiache kumheshimu mtu kwa sababu umemzoea sana au kwa sababu amekupa nafasi ya karibu sana, kufamiana isiwe tabu.
Sawa hiliBadala ya kutumia mda wote kufikiria namna ya kujikwamua anza na kidogo kilicho mbele yako.
👍👍👍Badala ya kutumia mda wote kufikiria namna ya kujikwamua anza na kidogo kilicho mbele yako.
Sometimes Ukihitaji Maisha Ya Amani , Jifunze Kuwa Msiri
Muda umewanyamazisha watu wengi Sana wakiwemo wenye viburi pamoja na wale waliojiona wao ni bora Sana kuliko watu wengine
Usiige leo ya aliefanikiwa,iga jana yake
Kila mtu ana mapungufu yake kikubwa ni kuangalia tunaelekea wapi..
KweliMara utakapoishinda TAMAA..
Mafanikio uliyoyaona hayawezekani yataanza kukufuata.
AiseeMara utakapoishinda TAMAA..
Mafanikio uliyoyaona hayawezekani yataanza kukufuata.
BARAKA ZA MUNGU ✔️Baraka za Mungu ni kama mvua laini inayoshuka juu ya moyo unaosali, haziji kwa kelele, bali huja kwa utulivu wa imani.
📌📌📌Fikiri pekeyako, amua pekeyako, tenda na wenzako."
SawasawaBaraka za Mungu ni kama mvua laini inayoshuka juu ya moyo unaosali, haziji kwa kelele, bali huja kwa utulivu wa imani.