myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ukiangalia vizuri,maisha yetu watu weusi yamejawa na hisia tu na muda mwingi tunatumia huko ya kulia na mapenzi,kuyafurahia, mpira,mziki n.kMuda mwingi tunatumikia hisia,muda kidogo sana tunatumia akili kwa usahihi.Ndio mana wakitaka kutupoteza wanachezea na hisia tu.

NakubalianaKumbuka Unaweza Kuchelewa, Kuanza Upya, Kupoteza Vyote, Kushindwa Tena Na Tena Lakini Bado ....Ukafanikiwa
Kama moyo wako umeamua kufungua mlango tena, basi heshimu safari yako. Si kila mtu atakuumiza lakini si kila mtu anastahili kuingia.
Heshima na upendo vikae sehemu moja,bila heshima hakuna upendo,bila upendo hamna heshima,,

πππHeshima na upendo vikae sehemu moja,bila heshima hakuna upendo,bila upendo hamna heshima,,
Heshima β οΈHeshima na upendo vikae sehemu moja,bila heshima hakuna upendo,bila upendo hamna heshima,,
SawasawaHaya maisha kila siku huwa yana hadithi zake,Ambazo ni chanya au hasi .Lakin jitaidi kuweka hadithi chanya kwenye maisha yako
Kumbuka Unaweza Kuchelewa, Kuanza Upya, Kupoteza Vyote, Kushindwa Tena Na Tena Lakini Bado ....Ukafanikiwa
SawaKama moyo wako umeamua kufungua mlango tena, basi heshimu safari yako. Si kila mtu atakuumiza lakini si kila mtu anastahili kuingia.
βοΈβοΈHakuna mafanikio rahisi. Hata yule anayekuambia alifanikiwa ghafla, hakwambii kilichomtokea usiku mmoja akiwa hana chakula
β οΈβ οΈMapambano ya kweli ni kati yako na malengo yako na sio wewe na mtu mwingine maana mwisho wa mashindano na mwingine ni chuki au roho mbaya
MapambanoMapambano ya kweli ni kati yako na malengo yako na sio wewe na mtu mwingine maana mwisho wa mashindano na mwingine ni chuki au roho mbaya
SawaHauna sababu ya kugombana na kichaa ukijua ni kichaa wewe ndo utaonekana kichaa...
Kweli hiliMwisho wa Ubaya ni aibu kubwa sana, jifunze kuwatakia mema wenzako ili mema pia yaje kwako.
SawasawaUthubutu ndio njia ya mkato ya mafanikio,ipite kwa nguvu zote!!