myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ujumbe muhimuUwe na imani kwamba ule wakati ambao mipango yako mwenyewe haifanyi kazi inawezekana ni Mungu anazuia ili kukulinda utoke kwanza kwenye jambo ambalo halitakuwa na matokeo mazuri na halikuwa kwa ajili yako.
Uwe na imani kwamba ule wakati ambao mipango yako mwenyewe haifanyi kazi inawezekana ni Mungu anazuia ili kukulinda utoke kwanza kwenye jambo ambalo halitakuwa na matokeo mazuri na halikuwa kwa ajili yako.
SawasawaTafuta kila kitu kwenye Maisha yako ila kaa ukitambua kua upendo na kifo hua vinakuja vyenyewe wakati wake ukifika.
SawasawaUaminifu ni aina ya juu zaidi ya utajiri ..Umejengwa kwa wakati na imepatikana kupitia uthabiti, utaalam, na uaminifu.Unapokuwa na ubunifu, Watu wakijua thamani yako kuna uwezekano mkubwa wa kukuamini zaidi.
✅️✅️✅️Wekez nguvu kubwa na baraka za kutosha kwenye mabadiliko ya maisha yako
SawaWekez nguvu kubwa na baraka za kutosha kwenye mabadiliko ya maisha yako
✔️✔️✔️Kama Huwezi Kutafuta Ufumbuzi Wa Changamoto Zako, Unahisi Unaweza Kusimamia Mafanikio Yako….!?
SawasawaKama Huwezi Kutafuta Ufumbuzi Wa Changamoto Zako, Unahisi Unaweza Kusimamia Mafanikio Yako….!?
SawasawaKifo ni fumbo kubwa sana ambalo Mungu alituficha kwa maana hiyo tunatembea na vifo vyetu bila sisi kujua tutakufa lini na mda gani tujitahidi kuheshimiana na kuthaminiana kwa maana sisi ni wafu tunao tembea
SawaUkiishi na watu tofauti tofauti hapa duniani ndio utajua kwanini Mwenyezi Mungu aliumba PEPO na MOTO.
SawaKifo ni fumbo kubwa sana ambalo Mungu alituficha kwa maana hiyo tunatembea na vifo vyetu bila sisi kujua tutakufa lini na mda gani tujitahidi kuheshimiana na kuthaminiana kwa maana sisi ni wafu tunao tembea