moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hali yako mzeeMchana umeshika kasi
Salama mkuu. UnaendeleajeHali yako mzee
SahihiUrafiki ni daraja lisilo onekana, linalo unganisha mioyo miwili hata inapo tenganishwa na umbali.
Naendelea vema AlhamdulillahSalama mkuu. Unaendeleaje
📌📌Badala ya kuwa mpelelezi wa makosa ya watu, kuwa daktari wa nafsi yako kwanza. Usiwe kama taa ya barabarani inayomulika kila upande ila haijiangazii.
Mungu atupe afya na uzima 🙏 🤲Naendelea vema Alhamdulillah
📌📌📌Si lazima kila mtu akukubali. Thamani yako haipimwi kwa makubaliano ya wengi — inapimwa na utulivu wako hata unapopingwa.
📌📌Si lazima kila mtu akukubali. Thamani yako haipimwi kwa makubaliano ya wengi — inapimwa na utulivu wako hata unapopingwa.
Kunywa Maji Mengi, 1-2 Litres kila siku!
2. Fanya Mazoezi ya Kutosha!
3. Kula Vizuri, Vaa Vizuri, Nukia.
4. Usijipe Umuhimu Kwenye Maisha ya Watu!
Kunywa Maji Mengi, 1-2 Litres kila siku!
2. Fanya Mazoezi ya Kutosha!
3. Kula Vizuri, Vaa Vizuri, Nukia.
4. Usijipe Umuhimu Kwenye Maisha ya Watu!
Kunywa Maji Mengi, 1-2 Litres kila siku!
2. Fanya Mazoezi ya Kutosha!
3. Kula Vizuri, Vaa Vizuri, Nukia.
4. Usijipe Umuhimu Kwenye Maisha ya Watu!
Jifunze kukaa kimya siku zote binadamu hawezi haribu kitu ambacho hakijui, weka mipango yako sirini
✅️✅️Badala ya kuwa mpelelezi wa makosa ya watu, kuwa daktari wa nafsi yako kwanza. Usiwe kama taa ya barabarani inayomulika kila upande ila haijiangazii.
👍👍Jifunze kukaa kimya siku zote binadamu hawezi haribu kitu ambacho hakijui, weka mipango yako sirini
Ujumbe muhimuJua linapotua halilalamiki. Linaondoka kwa utulivu likijua litarudi tena. Huo ndio mfano wa mtu mwenye matumaini