myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawaIshi kama Hauna watu Maana Unaodhania ni wako wana watu Waoo.
SawaIshi kama Hauna watu Maana Unaodhania ni wako wana watu Waoo.
SawaHekima ni kutambua kuwa si kila jibu linahitaji swali, na si kila mtu anahitaji maelezo — baadhi wanahitaji kuachwa tu
Ujumbe muhimu sanaSio lazima ueleweke leo, ila hakikisha unajielewa--maana thamani yako haitegemei watu
✔️✔️Sio lazima ueleweke leo, ila hakikisha unajielewa--maana thamani yako haitegemei watu
✅️✅️✅️Sio lazima ueleweke leo, ila hakikisha unajielewa--maana thamani yako haitegemei watu
📌📌Si lazima kila mtu akukubali. Thamani yako haipimwi kwa makubaliano ya wengi — inapimwa na utulivu wako hata unapopingwa.
AiseeChelewa ukiwa na lengo bora kuliko kukimbia bila mwelekeo mafanikio si mbio ni mwendo wa uhakika na maamuzi sahihi.
✔️✔️Fadhila ikishageuka kuwa haki, huzaa dharau kwa aliyetoa na matarajio kwa anayepokea.
Hili kweliHata Chizi Huwa Hajui Kuwa Yeye ni chizi Jitahidi Kuwaelewa Watu Kwa Jinsi Walivyo
SawaFadhila ikishageuka kuwa haki, huzaa dharau kwa aliyetoa na matarajio kwa anayepokea.
Kweli kabisaHata Chizi Huwa Hajui Kuwa Yeye ni chizi Jitahidi Kuwaelewa Watu Kwa Jinsi Walivyo
Fursa nyingi zinakuja kwa hila ya matatizo.
Ukipitia maumivu kwa macho ya busara, utaona mlango unaofunguka polepole.
Fursa nyingi zinakuja kwa hila ya matatizo.
Ukipitia maumivu kwa macho ya busara, utaona mlango unaofunguka polepole.
Sawa kabisaFursa nyingi zinakuja kwa hila ya matatizo.
Ukipitia maumivu kwa macho ya busara, utaona mlango unaofunguka polepole.
SawaMacho ya chuki hayawezi kutambua thamani ya moyo safi—ukitazamia mabaya, utapuuza mema yaliyoko wazi kabisa.
Tupambane sana Aisee na tuakikishe Kuna Siku Tutaishi Ndani Ya Malengo Yetu Tulio Azimia..
Usikate mti ambao unakupa kivuli kwa hasira za muda mfupi maamuzi ya hasira huwa ni makubwa na anguko lake sio dogo
Sawa kabisa hiliUsikate mti ambao unakupa kivuli kwa hasira za muda mfupi maamuzi ya hasira huwa ni makubwa na anguko lake sio dogo
👍👍👍Usikate mti ambao unakupa kivuli kwa hasira za muda mfupi maamuzi ya hasira huwa ni makubwa na anguko lake sio dogo