Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

✔️✔️✔️
Asali inaweza kudumu kwa zaidi ya miaka 300 bila kuharibika hii ni kitokana na asali kua na kiwango kidogo cha unyevunyevu na Ph yake kua ndogo ambayo ni kati ya 3-4.5 hii hufanya vijidudu vinavyosababisha kuharibika kwa vyakula kushindwa kuweka makazi kwenye asali
 
Makosa haya 7 huua biashara ndogo:
1. Kuchanganya fedha za biashara na matumizi binafsi

2. Kutotunza kumbukumbu

3. Kuiga wengine bila kujua soko

4. Kutokujua wateja

5. Kutumia faida mapema

6. Kukosa subira

Ukiyakwepa haya, biashara yako ina nafasi ya kuendelea na kukua.
Sawasawa
 
Back
Top Bottom