myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌📌Vitu vya thamani zaidi ambavyo huwezi kununua ni:
• Amani ya moyo.
• Muda.
• Mapenzi ya kweli.
• Afya.
• Uhuru.
• Hekima.
• Marafiki wa kweli.
• Kusudi la maisha.
📌📌📌Vitu vya thamani zaidi ambavyo huwezi kununua ni:
• Amani ya moyo.
• Muda.
• Mapenzi ya kweli.
• Afya.
• Uhuru.
• Hekima.
• Marafiki wa kweli.
• Kusudi la maisha.
SawaUkiona Kiatu Chako Kimeanza Kutanuka Basi Ujue Ukitoka Kuna Mtu Anavaa.
✔️✔️✔️Ukiona Kiatu Chako Kimeanza Kutanuka Basi Ujue Ukitoka Kuna Mtu Anavaa.
SawaMaisha ni vita visivyo na ratiba kwa sababu kila siku ni siku ya mapambano, haijalishi ni silaha gani unayoitumia bali morali,ujuzi na utaalamu wa kuitumia vema hiyo silaha itakufanya uwe mshindi.
Ni kweliMoyo unataka upendo,akili inataka mafanikio,nafsi inataka amani
Kweli na hiliMoyo unataka upendo,akili inataka mafanikio,nafsi inataka amani
✅️✅️✅️Moyo unataka upendo,akili inataka mafanikio,nafsi inataka amani
Maisha ni vita visivyo na ratiba kwa sababu kila siku ni siku ya mapambano, haijalishi ni silaha gani unayoitumia bali morali,ujuzi na utaalamu wa kuitumia vema hiyo silaha itakufanya uwe mshindi.
SawasawaMaisha ni vita visivyo na ratiba kwa sababu kila siku ni siku ya mapambano, haijalishi ni silaha gani unayoitumia bali morali,ujuzi na utaalamu wa kuitumia vema hiyo silaha itakufanya uwe mshindi.
AiseeUnaishi kwa malengo na imani na bado unayumbishwa,na misimamo yao kuwa na misimamo yako,hutojutia kufika utalaumu kwa kuchelewa
📌📌Usibabaike wala kutamani maisha ya watu wengine jinsi wanavyopost mitandaoni au kwenye status ukiona zinakupanikisha sana basi ziwe chachu ya wewe kupambana ufikie mafanikio unayotaka bila kudhuru mwili au kudhuru maisha ya watu wengine