myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
📌📌📌Hakikisha unamwomba Mungu kwanza asubuhi kabla ya kufanya jambo lako lolote utafanikiwa sana.
📌📌📌Hakikisha unamwomba Mungu kwanza asubuhi kabla ya kufanya jambo lako lolote utafanikiwa sana.
SawasawaHata kama njia ni ndefu na milima ni mikali, moyo unaoamini haukatishi tamaa. Mafanikio huanza pale mtu anapo chagua kuamini zaidi kuliko kuogopa.
👍👍👍Hata kama njia ni ndefu na milima ni mikali, moyo unaoamini haukatishi tamaa. Mafanikio huanza pale mtu anapo chagua kuamini zaidi kuliko kuogopa.
✔️✔️✔️Hata kama njia ni ndefu na milima ni mikali, moyo unaoamini haukatishi tamaa. Mafanikio huanza pale mtu anapo chagua kuamini zaidi kuliko kuogopa.
AiseeMakosa haya 7 huua biashara ndogo:
1. Kuchanganya fedha za biashara na matumizi binafsi
2. Kutotunza kumbukumbu
3. Kuiga wengine bila kujua soko
4. Kutokujua wateja
5. Kutumia faida mapema
6. Kukosa subira
Ukiyakwepa haya, biashara yako ina nafasi ya kuendelea na kukua.
SawaKuna namna ukiamua kumuamini Mungu atakuvika vazi la ujasiri , ambalo litakuvusha katika Kila hatua zako.
Amua kumuamini.
SawasawaKuna namna ukiamua kumuamini Mungu atakuvika vazi la ujasiri , ambalo litakuvusha katika Kila hatua zako.
Amua kumuamini.
AiseeKuna namna ukiamua kumuamini Mungu atakuvika vazi la ujasiri , ambalo litakuvusha katika Kila hatua zako.
Amua kumuamini.
✅️✅️Makosa haya 7 huua biashara ndogo:
1. Kuchanganya fedha za biashara na matumizi binafsi
2. Kutotunza kumbukumbu
3. Kuiga wengine bila kujua soko
4. Kutokujua wateja
5. Kutumia faida mapema
6. Kukosa subira
Ukiyakwepa haya, biashara yako ina nafasi ya kuendelea na kukua.
AiseeVitu vya thamani zaidi ambavyo huwezi kununua ni:
• Amani ya moyo.
• Muda.
• Mapenzi ya kweli.
• Afya.
• Uhuru.
• Hekima.
• Marafiki wa kweli.
• Kusudi la maisha.
AiseeTazama vitu vidogo kwa jicho la pekee lenye umakini mkubwa maana kuvuja kidogo kutazamisha meli kubwa.
SawaTazama vitu vidogo kwa jicho la pekee lenye umakini mkubwa maana kuvuja kidogo kutazamisha meli kubwa.