moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Usibabaike wala kutamani maisha ya watu wengine jinsi wanavyopost mitandaoni au kwenye status ukiona zinakupanikisha sana basi ziwe chachu ya wewe kupambana ufikie mafanikio unayotaka bila kudhuru mwili au kudhuru maisha ya watu wengine

Sawasawa piaNyota haziwezi kungβaa bila giza, ndo vilevile huwezi kuwa shujaa bila kupitia changamoto zozote zile kwenye maisha
Ujumbe muhimuNyota haziwezi kungβaa bila giza, ndo vilevile huwezi kuwa shujaa bila kupitia changamoto zozote zile kwenye maisha
SAHIHIUmasikini unatufanya tupate kile kinacho patikana na sio kile tunacho kitaka.
Kila kitu unachokiona leo kilianza na wazo la mtu mmoja,kamwe usidharau uwezo wako na mawazo yako,walioweza walidhubutu kuchukua hatua ya kutoa kilicho kichwani na kukifanya uhalisia.
Ukithubutu leo,kesho utakua unaongea kitu kingine.Iwe ufaulu au funzo.
Do it.